Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.
Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.
Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia.
Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa Tanzania, ni taasisi ya hovyo tu iliyojaa vilaza.
Hilo nalo na zaidi ya hilo, limetimia.
Jeshi la nchi yoyote ile, lenye heshima na ujivuni, haliwezi kamwe kuruhusu mipaka yake kuingiliwa na mamluki kutoka nchi zingine na kuja kuwaua raia ambao linalinda maisha yao na mali zao.
Kama sisi raia wa kawaida kabisa tunajua kuwa walikuja mamluki, na tumewaona kabisa wakipiga risasi Watanzania, basi JWTZ nalo linajua.
Hatuna jeshi sisi. Tuna kundi tu la watu wanaovaaga sare na kufanya maonyesho ya ‘uhodari’ wao kwenye viwanja mbalimbali kwenye hafla za kitaifa.
Mi mahodari sana wa kuigiza kupigana, kubiringita ardhini, kujipaka masizi usoni, kutembea kwa mikogo na mbwembwe, kubeba magunia migongoni mwao, kuvunja matofali ya udongo, na kuchapana bakora za mbao hadi zinavunjika.
Lakini ikija kwenye matumizi ya akili, pride, na self respect, hawana lolote.
Wamekuwa emasculated na Samia kwa kuwaleta mamluki kuwaua Watanzania.
This is unforgivable! It is very shameful.
Yaani kabisa JWTZ wameachia mamluki kuingia Tanzania na kuua Watanzania ili tu mtu aendelee kuwa Rais!
JWTZ wana amiri jeshi mkuu anayewadharau kama takataka.
Niliwaambia mara nyingi sana humu kuwa hao wanajeshi wetu si lolote na si chochote.
Mmejionea wenyewe sasa.
Sawa, mpo ambao mnaweza kudai kuwa wanajeshi hawakupiga raia, n.k.
Fair enough na wanastahili pongezi kidogo kwa hilo.
General Mkunda is a ****
JWTZ is fugazi.
Watanzania hamna jeshi hapo. Mko wenyewe tu.
Silaha kuu mliyonayo ni idadi ya watu.