Mzee Chayai
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 567
- 1,120
JWTZ lilikuwa linaheshimika sana. Lakini limekubali kubagazwa na samia na watu wake. Jeshi la wananchi linapokea order kutoka kwa Abdul ambaye hata hajawahi kwenda mafunzo ya mgambo.
Fikiria ujinga wa JWTZ, wanajeshi ambao ni watanganyika walikuwa wanalinda maandamano, lakini wakati huo huo kuna watanganyika wanapigwa risasi na wanajeshi wa Uganda. Shame on you JWTZ.
Nyie JWTZ mliopo leo msingeweza kupigana vita na Idd Amin, mngeuawa woteee.
Hata kagame tu hamumuwezi, ndiyo maana mliwakimbia M23.