Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Wala usijali kaka. Uzuri ni kwamba sasa walau una ushahidi wa ubwege wao.
Na kwa kweli siyo siri. Nimeumia sana kuona watoto wa Kitanzania wasiokuwa na silaha wakiuliwa bila sababu.
Hilo kamwe siwezi kulisamehe na limenipeleka mahala ambapo sikuweza kudhani nitafika.
Siku ya siku ikifika, litakayemfika atajijua yeye mwenyewe.
Lazima nifanye kitu na nitafanya.
Hizo damu za hao watoto hazijamwagika bure.
Zitalipwa tu. Stay tuned.
View: https://x.com/mangekimambi/status/1985433464943100096
Mkuu jamaa anakuaddress kama Nyani😆