Niliwaambia kuhusu JWTZ na huyo mkuu wao….

..ukiona vile walivyo tu huhitaji kuambiwa hatuna jeshi, na mbaya kabisa wameachwa kukaa mijini, baracka zinatakiwa kuwa nje mbali na makazi ya watu, baracks zote zilizozungukwa na makazi zingehamishwa kupelekwa nje mbali kabisa na makazi ya raia..ili wawe wanajua gharama za kuwa mwanajeshi! kuwa mwanajeshi si fursa ya kula na kutalii kwenye mission za UN..! ni kazi ngumu sabab hata lifestyle yako inatakiwa kuwa ya tofauti na raia! wanajeshi wanagombania ardhi na raia..lini na wapi mwanajeshi au jeshi wana ardhi yao..?
Limekuwa jeshi la viwango duni sana
 
Inasikitisha kuona inchi inadidimia na jeshi haliwezi kufanya kitu. Jeshi likitaka ku-act, mnaletewa jeshi kutoka nje ya nchi kuja kutetea maslahi ya mafisadi na jeshi letu linabaki kukodoa macho tu
Jeshi kwanza limkamate Samia, CDF, chief of staffs na kuwaweka chini ya ulinzi kwanza kama hatua ya kwanza kwenda kwenye ukombozi.
 
Uraisi wa Samia umetoa elimu kubwa kwa angle nyingi sana, which exposes Tanzania weaknesses in terms of national security vulnerability and CCM weaknesses which depends on rituals (mazoea).

Kama kuna wasomi wa political science, sociology, media studies and constitutional law na maswala ya development. There is a lot of case studies to write academic papers (journals on those topics).

Uongozi wa Samia has demonstrated enough deficiencies on our current constitutional in regard to ‘balance and checks’, the dangers of imitating others ways of doing things (eastern block politics) without proper trained human resource to implement those strategies, poor succession planning within CCM,

It’s just chaos

Hakuna jema mbele, it’s a state capture ya mafisadi kwa Tanzania.

And things gonna be chaos, if nothing is done kuwatoa hawa watu.

Watch this space
Halafu hatujui kuchuja viongozi.
 
Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.

Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.

Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia.

Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa Tanzania, ni taasisi ya hovyo tu iliyojaa vilaza.

Hilo nalo na zaidi ya hilo, limetimia.

Jeshi la nchi yoyote ile, lenye heshima na ujivuni, haliwezi kamwe kuruhusu mipaka yake kuingiliwa na mamluki kutoka nchi zingine na kuja kuwaua raia ambao linalinda maisha yao na mali zao.

Kama sisi raia wa kawaida kabisa tunajua kuwa walikuja mamluki, na tumewaona kabisa wakipiga risasi Watanzania, basi JWTZ nalo linajua.

Hatuna jeshi sisi. Tuna kundi tu la watu wanaovaaga sare na kufanya maonyesho ya ‘uhodari’ wao kwenye viwanja mbalimbali kwenye hafla za kitaifa.

Mi mahodari sana wa kuigiza kupigana, kubiringita ardhini, kujipaka masizi usoni, kutembea kwa mikogo na mbwembwe, kubeba magunia migongoni mwao, kuvunja matofali ya udongo, na kuchapana bakora za mbao hadi zinavunjika.

Lakini ikija kwenye matumizi ya akili, pride, na self respect, hawana lolote.

Wamekuwa emasculated na Samia kwa kuwaleta mamluki kuwaua Watanzania.

This is unforgivable! It is very shameful.

Yaani kabisa JWTZ wameachia mamluki kuingia Tanzania na kuua Watanzania ili tu mtu aendelee kuwa Rais!

JWTZ wana amiri jeshi mkuu anayewadharau kama takataka.

Niliwaambia mara nyingi sana humu kuwa hao wanajeshi wetu si lolote na si chochote.

Mmejionea wenyewe sasa.

Sawa, mpo ambao mnaweza kudai kuwa wanajeshi hawakupiga raia, n.k.

Fair enough na wanastahili pongezi kidogo kwa hilo.

General Mkunda is a bitch.

JWTZ is fugazi.

Watanzania hamna jeshi hapo. Mko wenyewe tu.

Silaha kuu mliyonayo ni idadi ya watu.
Mkuu maneno yako ni ya kweli na yameniumiza sana, maana milishuhudia polisi wakimuua Kwa kumpiga risasi raia ambaye hakuwa hata na jiwe mkononi, Tena walifanya hivyo mbele ya wanajeshi wa jwtz

Aisee sio siri huwa unaandika madini(Nisiwe mnafiki kwa hili)...Hili la kuwaongelea JWTZ nakumbuka uliwaongelea majuzi wakati wengine tukiwa na Imani nao kwa 100% kuwa wapo nasisi

Laiti Serikali ingekuwa inasoma hizi mada, but All in All...swali la msingi ni

" Mamluki wanaingiaje ndani ya Nchi ambayo mipaka yake inalindwa" ???

Ni Uzembe umefanyika au ni Agizo la wazi?
 
Naungana na wewe mkuu
 
Hahaaa ahsante kwa kunipa maua yangu.

Huwa naandika ukweli sema basi tu watu hujifanya wagumu kuelewa.

Ila mdogo mdogo watanielewa tu.
 
NI KWELI, HATUNA JESHI TANZANIA, TUNA MAJAMAA TUU NA WANAWAKE WANAOVAA NGUO ZA MADOADOA YA KIJANI NA KAHAWIA.

SHENZI KABISA HAYA MAJAMAA, YAMETUSALITI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATANZANIA WASIO NA HATIA. NARUDIA, MNAOJIITA JESHI LA WANANCHI TANZANIA, SHENZI KABISA !!!
 
Back
Top Bottom