Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
They are pussies.Nikweli kabisa kama jeshi la wananchi Tanzania jwtz limekiri kabisa kuwa ni jeshi dhaifu na halijiwezi.
Yaani ni jeshi hewa lililojaa sifa za kijinga ambalo haliwezi kuchukua hatua hata kwenye mambo ya msingi.
Jeshi lililo jaa waoga na wapokea mshahara mwisho wa mwezi kama waajiriwa wackawaida na sio kwamba ni wazalendo wa kutetea nchi.
Sioni haja gen Z ambao hawana hata silaa yoyote mkononi wakichochewa kufanya maandamano na kupoteza tu maisha kiholela bila ya kuwa na kinga yoyote ngoja huyu mama aendelee tu kuinajisi nchi.
Jwtz kama mmeshindwa kuikomboa hii nchi this time ni wakati gani mtaweza tena shame on you.
Hatuna jeshi kwa kweli, rudia ku check ile clip ya Captain Tesha it seems alijua yajao... ila now nahisi hana maisha tena kule watamuulia mbaliKuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.
Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.
Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia.
Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa Tanzania, ni taasisi ya hovyo tu iliyojaa vilaza.
Hilo nalo na zaidi ya hilo, limetimia.
Jeshi la nchi yoyote ile, lenye heshima na ujivuni, haliwezi kamwe kuruhusu mipaka yake kuingiliwa na mamluki kutoka nchi zingine na kuja kuwaua raia ambao linalinda maisha yao na mali zao.
Kama sisi raia wa kawaida kabisa tunajua kuwa walikuja mamluki, na tumewaona kabisa wakipiga risasi Watanzania, basi JWTZ nalo linajua.
Hatuna jeshi sisi. Tuna kundi tu la watu wanaovaaga sare na kufanya maonyesho ya ‘uhodari’ wao kwenye viwanja mbalimbali kwenye hafla za kitaifa.
Mi mahodari sana wa kuigiza kupigana, kubiringita ardhini, kujipaka masizi usoni, kutembea kwa mikogo na mbwembwe, kubeba magunia migongoni mwao, kuvunja matofali ya udongo, na kuchapana bakora za mbao hadi zinavunjika.
Lakini ikija kwenye matumizi ya akili, pride, na self respect, hawana lolote.
Wamekuwa emasculated na Samia kwa kuwaleta mamluki kuwaua Watanzania.
This is unforgivable! It is very shameful.
Yaani kabisa JWTZ wameachia mamluki kuingia Tanzania na kuua Watanzania ili tu mtu aendelee kuwa Rais!
JWTZ wana amiri jeshi mkuu anayewadharau kama takataka.
Niliwaambia mara nyingi sana humu kuwa hao wanajeshi wetu si lolote na si chochote.
Mmejionea wenyewe sasa.
Sawa, mpo ambao mnaweza kudai kuwa wanajeshi hawakupiga raia, n.k.
Fair enough na wanastahili pongezi kidogo kwa hilo.
General Mkunda is a bitch.
JWTZ is fugazi.
Watanzania hamna jeshi hapo. Mko wenyewe tu.
Silaha kuu mliyonayo ni idadi ya watu.
Uraisi wa Samia umetoa elimu kubwa kwa angle nyingi sana, which exposes Tanzania weaknesses in terms of national security vulnerability and CCM weaknesses which depends on rituals (mazoea).
Kama kuna wasomi wa political science, sociology, media studies and constitutional law na maswala ya development. There is a lot of case studies to write academic papers (journals on those topics).
Uongozi wa Samia has demonstrated enough deficiencies on our current constitutional in regard to ‘balance and checks’, the dangers of imitating others ways of doing things (eastern block politics) without proper trained human resource to implement those strategies, poor succession planning within CCM,
It’s just chaos
Hakuna jema mbele, it’s a state capture ya mafisadi kwa Tanzania.
And things gonna be chaos, if nothing is done kuwatoa hawa watu.
Watch this space
Tuna kikundi cha sarakasi na mazingaombwe..hakuna jeshi!Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.
Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.
Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia.
Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa Tanzania, ni taasisi ya hovyo tu iliyojaa vilaza.
Hilo nalo na zaidi ya hilo, limetimia.
Jeshi la nchi yoyote ile, lenye heshima na ujivuni, haliwezi kamwe kuruhusu mipaka yake kuingiliwa na mamluki kutoka nchi zingine na kuja kuwaua raia ambao linalinda maisha yao na mali zao.
Kama sisi raia wa kawaida kabisa tunajua kuwa walikuja mamluki, na tumewaona kabisa wakipiga risasi Watanzania, basi JWTZ nalo linajua.
Hatuna jeshi sisi. Tuna kundi tu la watu wanaovaaga sare na kufanya maonyesho ya ‘uhodari’ wao kwenye viwanja mbalimbali kwenye hafla za kitaifa.
Mi mahodari sana wa kuigiza kupigana, kubiringita ardhini, kujipaka masizi usoni, kutembea kwa mikogo na mbwembwe, kubeba magunia migongoni mwao, kuvunja matofali ya udongo, na kuchapana bakora za mbao hadi zinavunjika.
Lakini ikija kwenye matumizi ya akili, pride, na self respect, hawana lolote.
Wamekuwa emasculated na Samia kwa kuwaleta mamluki kuwaua Watanzania.
This is unforgivable! It is very shameful.
Yaani kabisa JWTZ wameachia mamluki kuingia Tanzania na kuua Watanzania ili tu mtu aendelee kuwa Rais!
JWTZ wana amiri jeshi mkuu anayewadharau kama takataka.
Niliwaambia mara nyingi sana humu kuwa hao wanajeshi wetu si lolote na si chochote.
Mmejionea wenyewe sasa.
Sawa, mpo ambao mnaweza kudai kuwa wanajeshi hawakupiga raia, n.k.
Fair enough na wanastahili pongezi kidogo kwa hilo.
General Mkunda is a bitch.
JWTZ is fugazi.
Watanzania hamna jeshi hapo. Mko wenyewe tu.
Silaha kuu mliyonayo ni idadi ya watu.
Unahitajika ujasiri wa kukata ‘umbilical cord’ wa bad culture na kutengeneza Civil Service imara kuondoa huu upuuzi.Yameshasemwa na kuandikwa sana yoote haya wewe Mayor Quimby. The question is what are we doing going forward? Tunaendeleza waliyoanzisha Gen Z au tunaendelea kulialia kusubiri maybe kizazi kijacho waje kufanya kweli.
Uganda wanalipiza kisasi, chief of staff wa JWTZ, Liutenant General Salim Othman Haji anaongoza mauaji ya Watanganyika wasio na hatia, Waziri wa mambo ya nje, Thabit Kombo, anapokea maagizo toka kwa Samia kuwa jeshi la mamluki la Uganda na lile la ambalo limegawanyika kwa misingi ya utanganyika na uzanzibari, wa upande wa Tanganyika wanalinda wananchi, wengine ambao wanamuunga mkono chief of staff.Tusikubali watanganyika tunauawa.Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.
Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.
Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia.
Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa Tanzania, ni taasisi ya hovyo tu iliyojaa vilaza.
Hilo nalo na zaidi ya hilo, limetimia.
Jeshi la nchi yoyote ile, lenye heshima na ujivuni, haliwezi kamwe kuruhusu mipaka yake kuingiliwa na mamluki kutoka nchi zingine na kuja kuwaua raia ambao linalinda maisha yao na mali zao.
Kama sisi raia wa kawaida kabisa tunajua kuwa walikuja mamluki, na tumewaona kabisa wakipiga risasi Watanzania, basi JWTZ nalo linajua.
Hatuna jeshi sisi. Tuna kundi tu la watu wanaovaaga sare na kufanya maonyesho ya ‘uhodari’ wao kwenye viwanja mbalimbali kwenye hafla za kitaifa.
Mi mahodari sana wa kuigiza kupigana, kubiringita ardhini, kujipaka masizi usoni, kutembea kwa mikogo na mbwembwe, kubeba magunia migongoni mwao, kuvunja matofali ya udongo, na kuchapana bakora za mbao hadi zinavunjika.
Lakini ikija kwenye matumizi ya akili, pride, na self respect, hawana lolote.
Wamekuwa emasculated na Samia kwa kuwaleta mamluki kuwaua Watanzania.
This is unforgivable! It is very shameful.
Yaani kabisa JWTZ wameachia mamluki kuingia Tanzania na kuua Watanzania ili tu mtu aendelee kuwa Rais!
JWTZ wana amiri jeshi mkuu anayewadharau kama takataka.
Niliwaambia mara nyingi sana humu kuwa hao wanajeshi wetu si lolote na si chochote.
Mmejionea wenyewe sasa.
Sawa, mpo ambao mnaweza kudai kuwa wanajeshi hawakupiga raia, n.k.
Fair enough na wanastahili pongezi kidogo kwa hilo.
General Mkunda is a bitch.
JWTZ is fugazi.
Watanzania hamna jeshi hapo. Mko wenyewe tu.
Silaha kuu mliyonayo ni idadi ya watu.
Nakubaliana nawewe kwa 100%Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.

Hawana kitu,wewe fuatilia operesheni nyingi za UN ukisikia wanajeshi wamekufa hukosi watanzania ndo waliouliwa wengi,hapo DRC tu walipigwa ambush na kajeshi ka Rwanda wakaomba poo,wakawa wanapita wanakaguliwa mpaka matakoni,hawana kitu wanakula tu mshahara wa bureThey are pussies.
..ukiona vile walivyo tu huhitaji kuambiwa hatuna jeshi, na mbaya kabisa wameachwa kukaa mijini, baracka zinatakiwa kuwa nje mbali na makazi ya watu, baracks zote zilizozungukwa na makazi zingehamishwa kupelekwa nje mbali kabisa na makazi ya raia..ili wawe wanajua gharama za kuwa mwanajeshi! kuwa mwanajeshi si fursa ya kula na kutalii kwenye mission za UN..! ni kazi ngumu sabab hata lifestyle yako inatakiwa kuwa ya tofauti na raia! wanajeshi wanagombania ardhi na raia..lini na wapi mwanajeshi au jeshi wana ardhi yao..?Hawana kitu,wewe fuatilia operesheni nyingi za UN ukisikia wanajeshi wamekufa hukosi watanzania ndo waliouliwa wengi,hapo DRC tu walipigwa ambush na kajeshi ka Rwanda wakaomba poo,wakawa wanapita wanakaguliwa mpaka matakoni,hawana kitu wanakula tu mshahara wa bure
Si uliosema ameshakimbia nchi wewe nyau!Samia ana maisha madogo sana ikulu. Mark this comment.