Mzee Chayai
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 567
- 1,120
Mfumo aliouweka Nyerere Jeshini ili ajilinde ndiyo unaolitafuna Jeshi; siyo hilarious yao kuona mamluki waliokodiwa toka nje ya nchi hivi na wakashindwa kuchukua hatua.Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.
Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.
Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia.
Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa Tanzania, ni taasisi ya hovyo tu iliyojaa vilaza.
Hilo nalo na zaidi ya hilo, limetimia.
Jeshi la nchi yoyote ile, lenye heshima na ujivuni, haliwezi kamwe kuruhusu mipaka yake kuingiliwa na mamluki kutoka nchi zingine na kuja kuwaua raia ambao linalinda maisha yao na mali zao.
Kama sisi raia wa kawaida kabisa tunajua kuwa walikuja mamluki, na tumewaona kabisa wakipiga risasi Watanzania, basi JWTZ nalo linajua.
Hatuna jeshi sisi. Tuna kundi tu la watu wanaovaaga sare na kufanya maonyesho ya ‘uhodari’ wao kwenye viwanja mbalimbali kwenye hafla za kitaifa.
Mi mahodari sana wa kuigiza kupigana, kubiringita ardhini, kujipaka masizi usoni, kutembea kwa mikogo na mbwembwe, kubeba magunia migongoni mwao, kuvunja matofali ya udongo, na kuchapana bakora za mbao hadi zinavunjika.
Lakini ikija kwenye matumizi ya akili, pride, na self respect, hawana lolote.
Wamekuwa emasculated na Samia kwa kuwaleta mamluki kuwaua Watanzania.
This is unforgivable! It is very shameful.
Yaani kabisa JWTZ wameachia mamluki kuingia Tanzania na kuua Watanzania ili tu mtu aendelee kuwa Rais!
JWTZ wana amiri jeshi mkuu anayewadharau kama takataka.
Niliwaambia mara nyingi sana humu kuwa hao wanajeshi wetu si lolote na si chochote.
Mmejionea wenyewe sasa.
Sawa, mpo ambao mnaweza kudai kuwa wanajeshi hawakupiga raia, n.k.
Fair enough na wanastahili pongezi kidogo kwa hilo.
General Mkunda is a bitch.
JWTZ is fugazi.
Watanzania hamna jeshi hapo. Mko wenyewe tu.
Silaha kuu mliyonayo ni idadi ya watu.
Nyani mimi ni mmoja ya watu ambao walikupinga sana kuhusu mitazamo yako kwa hili jeshi letu, tena sio tu kukupinga bali nilikushambulia kwa maneno makali maana niliona unalidharau jeshi letu wakati mimi nilikuwa na imani nalo sana.Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.
Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.
Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia.
Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa Tanzania, ni taasisi ya hovyo tu iliyojaa vilaza.
Hilo nalo na zaidi ya hilo, limetimia.
Jeshi la nchi yoyote ile, lenye heshima na ujivuni, haliwezi kamwe kuruhusu mipaka yake kuingiliwa na mamluki kutoka nchi zingine na kuja kuwaua raia ambao linalinda maisha yao na mali zao.
Kama sisi raia wa kawaida kabisa tunajua kuwa walikuja mamluki, na tumewaona kabisa wakipiga risasi Watanzania, basi JWTZ nalo linajua.
Hatuna jeshi sisi. Tuna kundi tu la watu wanaovaaga sare na kufanya maonyesho ya ‘uhodari’ wao kwenye viwanja mbalimbali kwenye hafla za kitaifa.
Mi mahodari sana wa kuigiza kupigana, kubiringita ardhini, kujipaka masizi usoni, kutembea kwa mikogo na mbwembwe, kubeba magunia migongoni mwao, kuvunja matofali ya udongo, na kuchapana bakora za mbao hadi zinavunjika.
Lakini ikija kwenye matumizi ya akili, pride, na self respect, hawana lolote.
Wamekuwa emasculated na Samia kwa kuwaleta mamluki kuwaua Watanzania.
This is unforgivable! It is very shameful.
Yaani kabisa JWTZ wameachia mamluki kuingia Tanzania na kuua Watanzania ili tu mtu aendelee kuwa Rais!
JWTZ wana amiri jeshi mkuu anayewadharau kama takataka.
Niliwaambia mara nyingi sana humu kuwa hao wanajeshi wetu si lolote na si chochote.
Mmejionea wenyewe sasa.
Sawa, mpo ambao mnaweza kudai kuwa wanajeshi hawakupiga raia, n.k.
Fair enough na wanastahili pongezi kidogo kwa hilo.
General Mkunda is a bitch.
JWTZ is fugazi.
Watanzania hamna jeshi hapo. Mko wenyewe tu.
Silaha kuu mliyonayo ni idadi ya watu.
Kwa mbali nimekuelewa sana!!Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.

Wala usijali kaka. Uzuri ni kwamba sasa walau una ushahidi wa ubwege wao.Nyani mimi ni mmoja ya watu ambao walikupinga sana kuhusu mitazamo yako kwa hili jeshi letu, tena sio tu kukupinga bali nilikushambulia kwa maneno makali maana niliona unalidharau jeshi letu wakati mimi nilikuwa na imani nalo sana.
Ila kwa hiki nilichokishuudia hizi siku nne zilizopita hapa nchini, acha nikuombe msamaha kwa kutofautiana na wewe hadi kukutolea maneno makali...
...ninaandika comment hii nikiwa navuja machozi baada kuwa very disappointed na hili linalojiita jeshi la kulinda wanainchi, kiukweli nimetokea kulichukia ghafla na sio kidogo.
...Jeshi gani linashuudia raia wasiokuwa na silaha wakiuliwa kiholela hivi bila kuchukua hatua yoyote?
..haya hata kma kweli ni wahalifu, kwanini JWTZ waruhusu maaskari kuwafyatulia risasi za moto hao wahalifu na wakati njia mbadala za kuwazuia wahalifu hao zipo?
...Yaan mpaka watu wanafuatwa majumbani mwao wanafyatuliwa risasi bado JWTZ hata kuwazuia tu kwa kauli wameshindwa?
Jeshi gani hili linaona nchi iko kwenye machafuko mali za watu zinaharibiwa, polisi wanauawa,raia wanauawa linashindwa kutangaza hata state of emergency na kushika nchi kwa muda hata kma ni kwa masaa kadhaa?
Jeshi linashindwa kulinda raia wake dhidi ya maharamia wa kigeni... kuna mama pale Tabata relini alipigwa chuma mbele yao wala hata alikuwa hana habari na maandamano, kisha wao wanajeshi wakaja kuokota maiti tu, hakika hili jeshi linatia kinyaa.
Kwakweli hapa hatuna jeshi bali tuna genge la vilaza tupu wanaojua kunyanyasa na kutisha raia.
Nadhani katika policcm na jwtz sehemu ambayo imejaa vilaza wengi ni JWTZ
Jana nilivyomuangalia yule M.kundu sijui Mkunda jinsi alivyokuwa anatembea wakati wa gwaride nikajiuliza imekuwa kuwaje kwanza huyu jamaa akawa mwanajeshi? Achilia mbali kuwa mkuu wa majeshi.....ukiona vile walivyo tu huhitaji kuambiwa hatuna jeshi, na mbaya kabisa wameachwa kukaa mijini, baracka zinatakiwa kuwa nje mbali na makazi ya watu, baracks zote zilizozungukwa na makazi zingehamishwa kupelekwa nje mbali kabisa na makazi ya raia..ili wawe wanajua gharama za kuwa mwanajeshi! kuwa mwanajeshi si fursa ya kula na kutalii kwenye mission za UN..! ni kazi ngumu sabab hata lifestyle yako inatakiwa kuwa ya tofauti na raia! wanajeshi wanagombania ardhi na raia..lini na wapi mwanajeshi au jeshi wana ardhi yao..?
Nakubaliana na wewe.Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.
Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.
Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia.
Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa Tanzania, ni taasisi ya hovyo tu iliyojaa vilaza.
Hilo nalo na zaidi ya hilo, limetimia.
Jeshi la nchi yoyote ile, lenye heshima na ujivuni, haliwezi kamwe kuruhusu mipaka yake kuingiliwa na mamluki kutoka nchi zingine na kuja kuwaua raia ambao linalinda maisha yao na mali zao.
Kama sisi raia wa kawaida kabisa tunajua kuwa walikuja mamluki, na tumewaona kabisa wakipiga risasi Watanzania, basi JWTZ nalo linajua.
Hatuna jeshi sisi. Tuna kundi tu la watu wanaovaaga sare na kufanya maonyesho ya ‘uhodari’ wao kwenye viwanja mbalimbali kwenye hafla za kitaifa.
Mi mahodari sana wa kuigiza kupigana, kubiringita ardhini, kujipaka masizi usoni, kutembea kwa mikogo na mbwembwe, kubeba magunia migongoni mwao, kuvunja matofali ya udongo, na kuchapana bakora za mbao hadi zinavunjika.
Lakini ikija kwenye matumizi ya akili, pride, na self respect, hawana lolote.
Wamekuwa emasculated na Samia kwa kuwaleta mamluki kuwaua Watanzania.
This is unforgivable! It is very shameful.
Yaani kabisa JWTZ wameachia mamluki kuingia Tanzania na kuua Watanzania ili tu mtu aendelee kuwa Rais!
JWTZ wana amiri jeshi mkuu anayewadharau kama takataka.
Niliwaambia mara nyingi sana humu kuwa hao wanajeshi wetu si lolote na si chochote.
Mmejionea wenyewe sasa.
Sawa, mpo ambao mnaweza kudai kuwa wanajeshi hawakupiga raia, n.k.
Fair enough na wanastahili pongezi kidogo kwa hilo.
General Mkunda is a bitch.
JWTZ is fugazi.
Watanzania hamna jeshi hapo. Mko wenyewe tu.
Silaha kuu mliyonayo ni idadi ya watu.
Asante mkuu, naomba kma uko kwenye nafasi ya kufanya jambo na likawa na impacts dhidi ya hawa wauaji ambalo kwa namna moja itakuwa ni relief kwetu fanya.Wala usijali kaka. Uzuri ni kwamba sasa walau una ushahidi wa ubwege wao.
Na kwa kweli siyo siri. Nimeumia sana kuona watoto wa Kitanzania wasiokuwa na silaha wakiuliwa bila sababu.
Hilo kamwe siwezi kulisamehe na limenipeleka mahala ambapo sikuweza kudhani nitafika.
Siku ya siku ikifika, litakayemfika atajijua yeye mwenyewe.
Lazima nifanye kitu na nitafanya.
Hizo damu za hao watoto hazijamwagika bure.
Zitalipwa tu. Stay tuned.
View: https://x.com/mangekimambi/status/1985433464943100096
Tatizo Nchi haiajiri wanajeshi kwa kuzingatia kiwango cha elimu na Uelewa.Hatuna jeshi sisi.
Mimi nilishawadharau siku nyingi sana hao.
Huwa najiuliza inakuwaje hawa jamaa wakiendaga congo huwa wanauliwa kma kuku na kile kikundi cha wana mgambo tu... sasa ndio nimeanza kupata jibu, tuna mandezi tu ambayo yapo tu hayajui wajibu wao.Tatizo Nchi haiajiri wanajeshi kwa kuzingatia kiwango cha elimu na Uelewa.
Ndio maana mpaka katika dunia ya leo inayoshindana zaidi vita vya kiteknolojia zaidi sisi tunajivunia Misuli, kujazia, kujichora usoni, kupasua matofali n.k na Wananchi wanafurahiaa
Aisee tupo nyuma sana, na UJINGA bado ni tatizo la Taifa.
KIngine hebu nikuulize Mkuu, hivi mbona sijawahi kuona Action yoyote ya maana inayofanywa na hizi International Organizations? Kwa mfano tumeona UN wamelalamikia Mauaji yaliyotokea Nchini, Pia EU walisema kuwa hakukuwa na Uchaguzi wa Huru na Haki....okay, THEN?...No way Forward?Pole sana ndugu yangu.
Hatuna jeshi sisi.
🤣🤣🤣🤣🤣Hawana kitu,wewe fuatilia operesheni nyingi za UN ukisikia wanajeshi wamekufa hukosi watanzania ndo waliouliwa wengi,hapo DRC tu walipigwa ambush na kajeshi ka Rwanda wakaomba poo,wakawa wanapita wanakaguliwa mpaka matakoni,hawana kitu wanakula tu mshahara wa bure
Uliona mbali MkuuKuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.
Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.
Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia.
Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa Tanzania, ni taasisi ya hovyo tu iliyojaa vilaza.
Hilo nalo na zaidi ya hilo, limetimia.
Jeshi la nchi yoyote ile, lenye heshima na ujivuni, haliwezi kamwe kuruhusu mipaka yake kuingiliwa na mamluki kutoka nchi zingine na kuja kuwaua raia ambao linalinda maisha yao na mali zao.
Kama sisi raia wa kawaida kabisa tunajua kuwa walikuja mamluki, na tumewaona kabisa wakipiga risasi Watanzania, basi JWTZ nalo linajua.
Hatuna jeshi sisi. Tuna kundi tu la watu wanaovaaga sare na kufanya maonyesho ya ‘uhodari’ wao kwenye viwanja mbalimbali kwenye hafla za kitaifa.
Mi mahodari sana wa kuigiza kupigana, kubiringita ardhini, kujipaka masizi usoni, kutembea kwa mikogo na mbwembwe, kubeba magunia migongoni mwao, kuvunja matofali ya udongo, na kuchapana bakora za mbao hadi zinavunjika.
Lakini ikija kwenye matumizi ya akili, pride, na self respect, hawana lolote.
Wamekuwa emasculated na Samia kwa kuwaleta mamluki kuwaua Watanzania.
This is unforgivable! It is very shameful.
Yaani kabisa JWTZ wameachia mamluki kuingia Tanzania na kuua Watanzania ili tu mtu aendelee kuwa Rais!
JWTZ wana amiri jeshi mkuu anayewadharau kama takataka.
Niliwaambia mara nyingi sana humu kuwa hao wanajeshi wetu si lolote na si chochote.
Mmejionea wenyewe sasa.
Sawa, mpo ambao mnaweza kudai kuwa wanajeshi hawakupiga raia, n.k.
Fair enough na wanastahili pongezi kidogo kwa hilo.
General Mkunda is a bitch.
JWTZ is fugazi.
Watanzania hamna jeshi hapo. Mko wenyewe tu.
Silaha kuu mliyonayo ni idadi ya watu.
Haaa Shukran jazilan.Ndio maana hata wengine waliokuwa huku mtaani walificha nyuso zao
Uliona mbali Mkuu
Familia ipo sema mtandao haujakaa sawa, utawapata tu.Familia yangu siipati uko Tanzania😭😭😭😭