Niliwaambia kuhusu JWTZ na huyo mkuu wao….

Mkuu jamaa anakuaddress kama Nyani😆
 
Wangekuwa wanaingia kuja kukivuruga chama Tawala ungeona kazi na nguvu ya jeshi😂 ila kwa kuwa walikuwa wanakuja kwa order maalumu thats why walipita na kufanikisha yaliowaleta na huo ndio uhalisia.

Kiongozi akidhuriwa na raia haitamaliza week kila kitu kitakuwa kimekamilika na watuhumiwa wako mahabusu. Ila kinyume chake itachukua miezi kukamilisha ushahidi na kesi kuanza propoganda zikiwa nyingi mno.

Kikubwa tumefahamu kumbe huo mfumo haujaishia polisi tu. Ni mpaka JW nako hali iko hivyo hivyo.
 
Ndio maana mafwele aliwadharau hawa wanajeshi....ni wazi walisha wasoma kuwa hamna kitu,,,me ngoja nianze kusogea kijijini kwetu mdogo mdogo maana hii nchi si salama tena hata kidogo....hasa huku mijini tutauliwa km kuku
Bro unachokifanya ndio kitakachotokea nchi nzima. Nchi inaenda kupasuka vibaya mno. Kila mtu sasa anakuja kujua umuhimu wa kwao. Maana serikali inajijali yenyewe na si wananchi.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Oya nimecheka kixenge baada ya kusoma hii comment 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kmmmk walai
 
Kwanza Soma hapa..kisha tafakari;
Unaona nini hapa...?
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa

Jeshi lina kamandi 5 na jeshi la kujenga taifa.
Nadhani mkakati unaanzia hapa kwa kuwapanga hawa km ilivyo hivi, watu wa majina ya aina hii sijawahi kuwaamini kwa lolote!
 
Bro unachokifanya ndio kitakachotokea nchi nzima. Nchi inaenda kupasuka vibaya mno. Kila mtu sasa anakuja kujua umuhimu wa kwao. Maana serikali inajijali yenyewe na si wananchi.
Madwari, najua wewe huwa una sharp mind, unaona nini kwa huu mpangilio hapa..?
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa

Jeshi lina kamandi 5 na jeshi la kujenga taifa.
Pili, jeshi hili si la wananchi, bora kuwaambia ukweli watanzania ili wafahamu wajibu wanaopaswa kuchukua!
 
Wametuangusha sana hawa wavunja matofari ya udongo.

Mbwe mbwe nyingi na mabegi makubwa kumbe hamna kitu.

Ukiwaona utasema wako serious kumbe bure tu.

Wameridhika kuendesha VST za mkopo wenzao wanakula mema ya nchi.
VST za mkopo???
Si wanalipwa mishahara mikubwa wananunua magari yao
 
Hahahaa hebu tujukumbushe kidogo kuhusu JWTZ 🤣🤣😆.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…