Wazee wangu nilishaongea nao na tulikubaliana shughuli iwe katikati ya mwezi wa 3/4 itakapoangukia sherehe za pasakaWaambie wazee wako uhalisia wa hali yako ili kama wataweza kukusaidia gharama wafanye hivyo au waongee na wazee upande wa pili.
Okk Sawa nimekuelewa, sasa hivi ulivyoniambia nakushauri kamwambie mkwe na kikao Cha wote hivi hivi watakuelewa. Utoe tu mahali Yao ndoa mtafunga popote
🤣 nikamtafute bamkwe tena??Okk Sawa nimekuelewa, sasa hivi ulivyoniambia nakushauri kamwambie mkwe na kikao Cha wote hivi hivi watakuelewa. Utoe tu mahali Yao ndoa mtafunga popote
Uwe makini kwenye maamuzi hasa hayo ya kiuchumi maana kujifungua sio mbali na ndio gharama zitaongezeka kwahiyo ukijichanganya hapa utakwama kweli kweli. Komaa na mshenga hakuna cha Fixed hata ratiba za ndege hubadilika.Wazee wangu nilishaongea nao na tulikubaliana shughuli iwe katikati ya mwezi wa 3/4 itakapoangukia sherehe za pasaka
Kuhusu kunisaidia kiuchumi hawako vizuri, lakini pia kwa upande wangu naweza nika force mambo kisha nikaja kukwamba mbeleni kwasababu last time tulienda kwenye ultrasound na EDD(tarehe yake ya kujifungua) ni katikati mwezi wa 6.
Wazee upande wapili according tu washenga inasemekana wamesema tarehe waliyoipanga ni FIXED haiwezi badilika.
Kama ningejua hii mbinu mapema ningefanikiwa sana "nguvu ya kukaa kimya"Najua wazee watanisimbua sana hii week ijayo.
Washenga wanaongea na wazee wangu, lakini ni kama wao wapo upande wa ukweniUwe makini kwenye maamuzi hasa hayo ya kiuchumi maana kujifungua sio mbali na ndio gharama zitaongezeka kwahiyo ukijichanganya hapa utakwama kweli kweli. Komaa na mshenga hakuna cha Fixed hata ratiba za ndege hubadilika.
I’m good at it MkuuKama ningejua hii mbinu mapema ningefanikiwa sana "nguvu ya kukaa kimya"
Huo sio ugonjwa kwamba unajua mtu we kuwa wa mwisho kusukuma kadi utapata ushindi Wala usiwe wa kwanza
Ngachoka Meku!!Kwanini wanaku force kufanya utambulisho Hali umekubali mpk tarehe ambayo uko sawa ?
Kingine gharama za utambulisho nyumbani kwa binti hutoi wewe, labda ujue kwao Hali halisi ndo utamsapoti....
Bwashee wasikupangie kabisa aseeh...
kwangu sherehe itakuwa utambulisho tuu,, na nitamsapoti kadri nitavoweza Ila as per i wish sio kwa force
Then NDOA ya mahakamani....
Wasikupangie mnama/monoama/mwanamae
Sasa mkuu ndoa utaiweza kweli wewe?Najua wazee watanisimbua sana hii week ijayo.
Kamasi lipi limenitoka?? Shida vijana mnashindwa kuwa na long plan kisha mnaangukia kuwa please watu.Sasa mkuu ndoa utaiweza kweli wewe?
Eeh manake hapo ni utambulisho tu unakutoa kamasi, yakija majukumu yenyewe sasa we si utakimbia ndoa wewe? 🤣🤣
Usiogope na kimsingi watakuheshimu kama mtu unayesimamia mipango Yako na uko tayari kuongoza familiaI’m good at it Mkuu
Na pia sio muongeaji na naadhi ya wana familia yao ninaokaa nao huku nilipo wanalijua hilo mpaka ilishawahi fika stage wakawa wanasema nina madharau.
Naona nikikaa kimya itazidi kuwafanya waseme kwamba nina dharau.
Watu hawaelewi, wanataka niende kichwa kichwa.January ina mambo!!
View attachment 3192131
Mtoto anatosha, sio lazima ndoaMission ipi ni abort mkuu?
Binti ni mjamzito na sikutaka akajifungulie kwao.