Niliwaambia wazazi wasubiri niweke mambo yakae sawa wakanigomea, sasa naona yakitimia

Niliwaambia wazazi wasubiri niweke mambo yakae sawa wakanigomea, sasa naona yakitimia

Idea yako ya mahakamani imeshakufa au bado ipo mkuu, nimesoma uzi lakini sjaelewa
Sina mpango wa kuoa kanisani/msikiniti na sijawahi kuwaza wala kutamani.

Wazo ni Mahakamani, shida ni changamoto n- vikwazo ninavyoletewa na ni vyakushtukizana miezi mibaya.
 
Inawezekana.

Lengo ni utambulisho then mwezi wa 3/4 ndipo kukutana ili ndugu pande zote tujuane.

Kumbuka matarajio ya binti kujifungua ni mwezi wa 6.

So niliwaza baada ya hapo ndipo utaratibu mwingine ningeukamilisha.
Upo sawa, ila bado si mkeo mkuu. Hapo katikati akipata mwamba akamtolea mahari kabla yako ikapoelewa anabeba mnaanza mipango ya namna ya kumlea mtoto bila kumuudhi mumewe.
 
Sina mpango wa kuoa kanisani/msikiniti na sijawahi kuwaza wala kutamani.

Wazo ni Mahakamani, shida ni changamoto n- vikwazo ninavyoletewa na ni vyakushtukizana miezi mibaya.
Waeleze ukweli sasa, kwamba utaratibu ni huu.
 
Mimi pia natokea migombani

Humbe na Humility...omba sana hivi vitu katika maisha yako. Wazazi wa mkeo.ni wazazi wako, sisi wa migombani tunaheshimu sana Vatoi....
 
Upo sawa, ila bado si mkeo mkuu. Hapo katikati akipata mwamba akamtolea mahari kabla yako ikapoelewa anabeba mnaanza mipango ya namna ya kumlea mtoto bila kumuudhi mumewe.
Huyo jamaa nitampigia salute nyingi sana na mchango wa harusi nitampa maana atakua hana tofauti na wale wanaojitoaga mhanga 😂

Alafu dunia ya leo waoaji ni wachache mzee.
 
Mimi pia natokea migombani

Humbe na Humility...omba sana hivi vitu katika maisha yako. Wazazi wa mkeo.ni wazazi wako, sisi wa migombani tunaheshimu sana Vatoi....
Naheshimu pia lakini kitendo hichi ni kama wanafanya kwa kutaka kunikomoa.

Na ndio maana hata timetable nyingine nilizivunja ilimradi afike kwao tusiwakwaze wazee.
 
Huwezi amini nilidhani unamzuia kwaajili ya mimba kumbe unamzuia unaogopa utaambiwa upeleke mahari? 😅😅
 
Huyo jamaa nitampigia salute nyingi sana na mchango wa harusi nitampa maana atakua hana tofauti na wale wanaojitoaga mhanga 😂

Alafu dunia ya leo waoaji ni wachache mzee.
Kuna watu wanajilipua mkuu, na pesa unakuta wanazo, unaweza dhani ni masharti ya mganga.
 
Wazee wangu nilishaongea nao na tulikubaliana shughuli iwe katikati ya mwezi wa 3/4 itakapoangukia sherehe za pasaka

Kuhusu kunisaidia kiuchumi hawako vizuri, lakini pia kwa upande wangu naweza nika force mambo kisha nikaja kukwamba mbeleni kwasababu last time tulienda kwenye ultrasound na EDD(tarehe yake ya kujifungua) ni katikati mwezi wa 6.

Wazee upande wapili according tu washenga inasemekana wamesema tarehe waliyoipanga ni FIXED haiwezi badilika.
Nenda katoe mahari ili ukae na mtoto wao kihalali coz hapo tu umeshafanya tofauti na maadili ya kitz... Ukitoa mahari huwa swala la ndoa itakua lini unasikilizwa wewe muoaji kwahiyo utawatajia na kuhusu Pete waambie unataka umvalishe siku hiyo hiyo ya kutoa mahari kwa maana ratiba zako haziko sawa so unataka kumaliza vyote siku hiyo ili libakie swala la ndoa tu.
 
Huwezi amini nilidhani unamzuia kwaajili ya mimba kumbe unamzuia unaogopa utaambiwa upeleke mahari? 😅😅
Rudia kusoma thread yangu Mkuu.

Mahari sio issue na hata ule utaratibu wa kwanza haukua bure kuna fedha iliachwa.

Na hata hiyo sio mahari ni wanataka tukutane ndugu wa pande zote mbili kuwe na kama katafrija (Gharama, Muda, Watu) kwa tarehe hiyo watapatikana kweli??
 
Kwa mawazo hayo utawez cmamia familia kweli

Shusha nyongo
 
Nenda katoe mahari ili ukae na mtoto wao kihalali coz hapo tu umeshafanya tofauti na maadili ya kitz... Ukitoa mahari huwa swala la ndoa itakua lini unasikilizwa wewe muoaji kwahiyo utawatajia na kuhusu Pete waambie unataka umvalishe siku hiyo hiyo ya kutoa mahari kwa maana ratiba zako haziko sawa so unataka kumaliza vyote siku hiyo ili libakie swala la ndoa tu.
Sio kama nimekataa Masta, issue ni huo muda walionipangia (Ni ndani ya siku 10) isitoshe hii ni january kupata nafasi kwa upande wangu, wazazi na ndugu ni changamoto.
 
Back
Top Bottom