T-Bagwell
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 1,243
- 2,378
- Thread starter
- #21
Wazee wangu nilishaongea nao na tulikubaliana shughuli iwe katikati ya mwezi wa 3/4 itakapoangukia sherehe za pasakaWaambie wazee wako uhalisia wa hali yako ili kama wataweza kukusaidia gharama wafanye hivyo au waongee na wazee upande wa pili.
Kuhusu kunisaidia kiuchumi hawako vizuri, lakini pia kwa upande wangu naweza nika force mambo kisha nikaja kukwamba mbeleni kwasababu last time tulienda kwenye ultrasound na EDD(tarehe yake ya kujifungua) ni katikati mwezi wa 6.
Wazee upande wapili according tu washenga inasemekana wamesema tarehe waliyoipanga ni FIXED haiwezi badilika.