Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

Jinga wewe jukwaa la urembo limeanza 2017 oambafuuu
 
Vijana tumezidi kujisifia uzinzi na uasherati sana ..

MÊmENtO HoMO
 
Duh hongera ila hadi story inaisha sijaona sehemu miliotumia kinga ama kupima magonjwa! Mlipimana kwa macho eeh! Kuwa Virgin haimaanishi mtu yuko poa kiafya. Tuweni waangalifuπŸ€”
 
Inawezekana hili ndio ulilolipata IAA, ukipewa kutengeneza P&L a/c na b/ sheet unaweza?
 
Sema pia akisoma hapa ataumia kichizi..

Kama vipi futa tu comment mzee.
 
Yani story huwa zinaanzaga vizuri sijui kwanini zinamalizikaga kwa hudhuni [emoji849]
Sasa unataka story iishe vizuri ili wewe ufurahi.

Kwani yeye kaandika maigizo hapa, kwamba ahakikishe anawafurahisha wasomaji ??
 
Mkuu umezingua hapo chini umeandika vitu gani .... Vingine sio vya kuhadithia mkae navyo moyoni,
 
Sasa unataka story iishe vizuri ili wewe ufurahi.

Kwani yeye kaandika maigizo hapa, kwamba ahakikishe anawafurahisha wasomaji ??
We kajamaa una nini lakini, ni hivi kila mtu ana interest zake katika story anayosema na expectations zake kwenye hiyo story tangu inavyoaanza na ni mawazo yanapelekea kuitazamia story itaisha vipi, eboo hebu tulia kwanza kijana acha wenge
 
Tumejua interest zako unataka story ziishe vizuri hupendi story zianze vizuri na kuisha vibaya.
πŸ‘πŸ‘
Tunasubir picha la maisha yako, weka bandiko LAKO.
 
Tumejua interest zako unataka story ziishe vizuri hupendi story zianze vizuri na kuisha vibaya.
[emoji122][emoji122]
Tunasubir picha la maisha yako, weka bandiko LAKO.
Nasubiria mpaka mpaka nifanye chaguzi zangu nikibahatika na karata zangu nikizicheza vizuri nina uhakika story yangu itaanza vizuri na itaishia vizuri sita poteza jambo wala kujutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…