Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

Jinga wewe jukwaa la urembo limeanza 2017 oambafuuu
 
Vijana tumezidi kujisifia uzinzi na uasherati sana ..

MÊmENtO HoMO
 
Duh hongera ila hadi story inaisha sijaona sehemu miliotumia kinga ama kupima magonjwa! Mlipimana kwa macho eeh! Kuwa Virgin haimaanishi mtu yuko poa kiafya. Tuweni waangalifu🤔
 
Inawezekana hili ndio ulilolipata IAA, ukipewa kutengeneza P&L a/c na b/ sheet unaweza?
 
Ilianza hivi,

kulikuwa na mada mezani tukawa tunachangia, ile mada siikumbuki ila ilikuwa na mabishano mengi sana baina ya wachangiaji, huyu binti akakomaa kubishana na mimi, yaani alikuwa mjuaji kinoma kina sentensi mbili full mamisamiati ya kizungu, mzee baba nikaona mtoto ataniabisha, nikawa mpole maana ni kama tulikuwa tunaelekea kutukanana na mimi huwa sijibizani kwa matusi au kejeli so nikapotea kwenye hilo jukwaa.

Baada ya mda akaja PM kuniomba samahani maana aliona kabisa kwamba kanikosea, mi kiroho safi nikamsamehe maisha yakaendelea, mazoea ya kuja rum "PM" yakawa mengi na tunaendea kuchati kama marafiki tu. ikafika hatua tuonane, nikamkaribisha LA COMIDA BAR ipo maeneo ya Temboni binti akaja kichwni nlijua ni bonge moja ya Pisi kali kumbe hamna kitu dada yupo late 30s hana mvuto kabisa tofauti na imaginations zangu, tukala na kunywa then tukaachana. kila mmoja na mishe zake tangu siku hiyo sijauona tena humu jukwaani nadhani kabadilisha ID
Sema pia akisoma hapa ataumia kichizi..

Kama vipi futa tu comment mzee.
 
Yani story huwa zinaanzaga vizuri sijui kwanini zinamalizikaga kwa hudhuni [emoji849]
Sasa unataka story iishe vizuri ili wewe ufurahi.

Kwani yeye kaandika maigizo hapa, kwamba ahakikishe anawafurahisha wasomaji ??
 
Ilianza hivi,

kulikuwa na mada mezani tukawa tunachangia, ile mada siikumbuki ila ilikuwa na mabishano mengi sana baina ya wachangiaji, huyu binti akakomaa kubishana na mimi, yaani alikuwa mjuaji kinoma kina sentensi mbili full mamisamiati ya kizungu, mzee baba nikaona mtoto ataniabisha, nikawa mpole maana ni kama tulikuwa tunaelekea kutukanana na mimi huwa sijibizani kwa matusi au kejeli so nikapotea kwenye hilo jukwaa.

Baada ya mda akaja PM kuniomba samahani maana aliona kabisa kwamba kanikosea, mi kiroho safi nikamsamehe maisha yakaendelea, mazoea ya kuja rum "PM" yakawa mengi na tunaendea kuchati kama marafiki tu. ikafika hatua tuonane, nikamkaribisha LA COMIDA BAR ipo maeneo ya Temboni binti akaja kichwni nlijua ni bonge moja ya Pisi kali kumbe hamna kitu dada yupo late 30s hana mvuto kabisa tofauti na imaginations zangu, tukala na kunywa then tukaachana. kila mmoja na mishe zake tangu siku hiyo sijauona tena humu jukwaani nadhani kabadilisha ID

Mkuu umezingua hapo chini umeandika vitu gani .... Vingine sio vya kuhadithia mkae navyo moyoni,
 
Sasa unataka story iishe vizuri ili wewe ufurahi.

Kwani yeye kaandika maigizo hapa, kwamba ahakikishe anawafurahisha wasomaji ??
We kajamaa una nini lakini, ni hivi kila mtu ana interest zake katika story anayosema na expectations zake kwenye hiyo story tangu inavyoaanza na ni mawazo yanapelekea kuitazamia story itaisha vipi, eboo hebu tulia kwanza kijana acha wenge
 
Tumejua interest zako unataka story ziishe vizuri hupendi story zianze vizuri na kuisha vibaya.
👏👏
Tunasubir picha la maisha yako, weka bandiko LAKO.
 
[emoji122][emoji122]
Tunasubir picha la maisha yako, weka bandiko LAKO.
Nasubiria mpaka mpaka nifanye chaguzi zangu nikibahatika na karata zangu nikizicheza vizuri nina uhakika story yangu itaanza vizuri na itaishia vizuri sita poteza jambo wala kujutia
 
Back
Top Bottom