MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #201
Kinyume chake ni kweli, fanya home work yako vizuri
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
If an imbecile like me cannot understand an imbecile like you then you truly are an imbecile
Bado sijakuelewa
Mpango ni mkatoliki? Nimesikia ni Anglican..
Au Mpango leo leo kaongea akiwa kanisa la kikatoliki??
Wewe siyo Mkatoliki ...
Mkatoliki huwa hatambi kihivyo....huwezi kumkuta Mkatoliki akitamba hadharani eti sisi wakatoliki tuna nguvu Mara sijui sisi wasomi sijui Nini ...hakuna kitu Kama hicho...
Matusi na mapovu ya nini; usijiingize kwa kundi la watu wasiokuwa na akili kwa majibu ya aina hii. Post yako haikuwa na ukristo bali ilikuwa ni ya ukatoliki. Hujatoa ushuhuda wowote kuonyesa kuwa Mkapa na magufuli waliteuliwa kwa sababu ya ukatoliki wao. Kikwete alishatueleza ni kwa nini alimpendekeza Magufuli kuwa mgombea wa urais, kwa waliokuwapo mwaka 1995 tunajua ni kwa nini Mkapa aliteuliwa kuwa mgombea. Sasa katiba inasema Mgombea akitoka bara, lazima mgombea mwenza atoke viziwani na vice versa. safari hii jukumu la kumpata makamu wa rais lilikuwa ni maamuzi ya Samia na CCM. Je wewe ni mmoja wa walimshinikiza Samia amteua Mpango kwa sababu ni mkatoliki? Kama mpango hafai kwa sabau ya ukatoliki wake wewe ulitaka ni nani ateuliwe?
Swala la namna hii aliwahi kulitoa Lowassa mwaka 2015, na ndipo akahamaia CHADEMA, lakini je aliishiwa wapi?
Umeweka rekodi sawa, pia Kaka yake ni mstaafu Dr. Gerald Eliya Mpango, alikuwa Bishop of Western Tanganyika Kanisa la Anglican.
Lowassa aliukosa kwasababu hizohizo.
At least that one is less garbage and less trash than your B/S thread.Absolutely Rubbish.
Hapo naona umepania kuwachota watu akili, wewe huna cha ukatoliki wala nini sijui - ni wazi una chuki binafsi na dhehebu la Kikatoliki, unayo yasema hapa umeyatunga ie hayana ukweli wowote.
Hivi unajuwa VATICAN ina status gani katika jumuhiya ya Kimataifa? Vitican ni Nchi na ina mabalozi wake Dunia nzima, hata hapa Tanzania yupo - hivyo Rais anapofanya ziara Vatican anakwenda kutembelea Nchi sio kwenda kumsujudu PAPA, msitake kuwapotosha watu na ajenda zenu za kidini - kazi kulalama kila siku eti hamtendewi haki - leo hii unajifanya mkatoliki unafikiri Watanzania hatuna akili za kubaini uongo/usanii wako.
Je, umewahi ku-test wapi IQ yako ukajijua huko kwenye notch hipi, labda tuanzie hapo?Ni Ukatoliki wangu wa 100% na Elimu kubwa niliyopewa na Wakatoliki ndiyo inanipa Kiburi hiki na Jeuri hii ya kutamba kuwa na IQ Kubwa na Takatifu.
Je, umewahi ku-test wapi IQ yako ukajijua huko kwenye notch hipi, labda tuanzie hapo?
Mkuu, naona unajaribu ku-derail swali langu - nimekuliza kwenye masuala ya IQ,je, ya kwako hipo kwenye notch hipi? I don't think my query sound Greek to you.Israel, Russia and Pemba were I belong.