Matusi na mapovu ya nini; usijiingize kwa kundi la watu wasiokuwa na akili kwa majibu ya aina hii. Post yako haikuwa na ukristo bali ilikuwa ni ya ukatoliki. Hujatoa ushuhuda wowote kuonyesa kuwa Mkapa na magufuli waliteuliwa kwa sababu ya ukatoliki wao. Kikwete alishatueleza ni kwa nini alimpendekeza Magufuli kuwa mgombea wa urais, kwa waliokuwapo mwaka 1995 tunajua ni kwa nini Mkapa aliteuliwa kuwa mgombea. Sasa katiba inasema Mgombea akitoka bara, lazima mgombea mwenza atoke viziwani na vice versa. safari hii jukumu la kumpata makamu wa rais lilikuwa ni maamuzi ya Samia na CCM. Je wewe ni mmoja wa walimshinikiza Samia amteua Mpango kwa sababu ni mkatoliki? Kama mpango hafai kwa sabau ya ukatoliki wake wewe ulitaka ni nani ateuliwe?
Swala la namna hii aliwahi kulitoa Lowassa mwaka 2015, na ndipo akahamaia CHADEMA, lakini je aliishiwa wapi?