Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Mkuu kanisa lina sura nyingi sana sana

Hao watu wanatumia gharama Kubwa sana kusomesha watu na hata kuwatisha kwa misaada

Ahaaa tatizo hamsomi

Unajua kwanini Vatican ni nchi ndani ya Italia?
Kwanini Vatican ni nchi ndani ya Italy?
 
Mtoa maada , Uzi wako unahtaji intelligence people kuuelewa , umeuleta Kwa watoto watoto , hutapata majibu yyte zaidi ya mihemko ya matusi , umeeleza vitu vingi , Ila na bado hata wewe bado hujaijua vyema nguvu ya Vatican ,hata Mimi pia , Vatican ndo inayorun dunia , pale ndo maamuz ya kwamba dunia inaendaje huamuliwa pale Vatican ikipewa support na USA+ Western Countries.

Vatican ni zaidi ya kofia ya mfumo wa kidini , hata makao makuu ya wajenzi huru yako pale

Mashambulizi ya western countries na USA dhidi ya middle East ambayo ndo center ya waislamu yapo activated na Vatican , Mama Samia na dini yake si chochote mbele ya Vatican na analazimika kuwa Royal Kwa Vatican na hawezi bisha , Papa akitua leo Tanzania mapokezi yake ni zaidi ya Rais wa Marekani ....!!!
 
Bado sijakuelewa

Mpango ni mkatoliki? Nimesikia ni Anglican..

Au Mpango leo leo kaongea akiwa kanisa la kikatoliki??
Ni Anglican
Hawa ni wale wanasoma habari wakiwa wamedandia baiskeli za mbao 'bagadu
 
46 minutes page ya tatu hapa tu unaona nguvu ya ukatolik ! Ingekuwa Islam en related uchafu kungekuwa na reply 2 tu.
 
Basi tukubatine tu kwamba wazungu sio watu wazuri
 
UKiishiwa mipango lazima uwaze mawazo ya kijinga kama ya mtoa mada
 
Unitag na Mimi Ila uwe wa kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…