Niliwahi kumwambia Hayati Dkt. Magufuli, nakwambia na wewe Rais Samia; Watanzania ni masikini sana!

Mwigulu juzi amesema yeye ndo atakuwa waziri wa fedha mpaka mwaka 2030...mtake msitake! Yaani hakuna kitu mnaweza fanya
 
Kitendo Cha kumnyima pesa mfanyakaz wa serikali haya ndiyo maumivu yake
 

Kuna nchi serikali inasupport wananchi wake sana na zinaendelea sana tucheki hata Zambia na Rwanda wako mbali sana. Zambia ukubwa unakaribiana na TZ na bado ni locked country plus ina population ndogo sana. Why watushinde hakuna mwenye madini,mbuga za wanyama,bahari kama sisi ila sasa maisha yetu maigizo
 
Umezungumza kwa hisia. Kuhusu hoja ya umasikini vijijini; tunakubaliana kimsingi ni tatizo kubwa. Rural poverty ni tatizo kubwa si tu Tanzania bali ktk devoloping countries, hasa za Afrika zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Chanzo kikubwa; ni kutokufanya mapinduzi ya kilimo. Kwa sababu rural economy ktk hizo nchi inategemea kilimo, lakini poor teknoloji, black market na ukosefu wa mitaji na utaalamu umefanya kilimo cha kujikimu, hivyo mnyororo wa umasikini tena wa kurithi (generational poverty) kuzidi kukua. Umasikini wa kurithi yaani masikini anazaa masikini hadi vijukuu. Kwa msingi huo, issue siyo tozo bali kufanya mapinduzi makubwa ya kilimo. NDICHO ANACHOKIFANYA MHE. RAIS SAMIA. Nampongeza sana Mhe. Rais.

Rais anafanya mapinduzi ya kilimo. Tusaidie mawazo kufanikisha mapinduzi ya kilimo maana ni mfumo endelevu wa uchumi na wa kukata mnyororo wa umasikini vijijini, kuhakikisha food security, kujenga taifa la watoto wenye lishe bora hivyo kuondoa udumavu wa akili na mwili. Tumsaidie Mhe. Rais SSH.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kweli kbs. Lkn ktk serikali ukiwa na mamwinglu, msukma na yule mhindi, hakna ubunifu, wakisoma walichosema wengne, hata bila kupigia mahesabu wanakileta kwetu. Wamekosa ubunifu, wamelewa pesa
 
Viongozi Wana umasikini wa akili wananchi Wana umasikini wa kipato
 
Msipofanywa kuwa masikini watawaongozaje sasa?
 
Si ajabu kukuta hata timu zao za mpira zinasapotiwa kwa kodi zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…