Niliwahi kumwambia Hayati Dkt. Magufuli, nakwambia na wewe Rais Samia; Watanzania ni masikini sana!

Huo ufukara wa waTz uliouzungumza wameuprogram wao na wataendelea kuuprogram ili kuendelea kutawala. Wanatumia kanuni hii "Ukitaka kumtawala mtu utakavyo mnyime elimu bora ili awe mjinga pia muue kiuchumi". Usitarajie huruma hapo ndugu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ati "issue sio tozo" na "tusaidie kufanikisha mapinduzi ya kilimo"! Eti unampongeza Rais...nk. Naona ungejisemea tunajipongeza ss viongozi kama ulivotuomba "tuwasaidie" kufanikisha.
Sjui una umri gani lkn haya mambo ya kilmo sio mapya! Toka enzi za Mwl Nyerere mnatuimbia lkn hamna formula yyt ya maana ya kutekeleza. Ingerahisisha zaidi mngejipungzia mishahara, maposho na hizo anasa zenu ili kupunguza hiyo 90% ya bajeti ya Kawaida ingalawa ifike 60% na ya maendeleo 40%-yaani badala ya 7tri/- za maendeleo ingawa zifike hata 70tri/-.
Ni maendeleo gani utaleta kw hako ka bajeti kanakolingana na ka manunuzi ya magari mnayopapanga kujinunulia!? Umeomba tukusaidie mawazo nami napendekeza hayo- yaani rudisheni bungeni hiyo bajeti inayolipiwa na tozo za wanyonge ili mlipie nyie toka kwenye maanasa yenu mliojipangia badala inayowaumiza mnaowaita wanyonge, au huoni mnazidi kuwanyong'oneza? Wasilie?
 
Mh. Samia apaswa kujua eti, mwanangu na hilo nendeni mkalitizame, sio kauli ya kiuongozi.
Hii kauli huwa inaniboa kinoma yaani imekaa kubembelezana sana, yeye kama mkuu wa nchi lazima atambue mamlaka aliyonayo na atoe maelekezo/amri ya nn kifanyike na kwa muda gani. Siyo kutoa kauli zenye loopholes au general general kama hiyo
 
naunga mkono hoja ya mtoa mada, Watanzania ni masikini sana naongezea na hili "MASIKINI NA PRIMITIVE"

Tuna kazi kuubwa sana hapo, kuondoa uprimitive na umasikini na bahati mbaya wenye mamlaka wameziba masikini.
 
Serikali imepunguza matumizi yasiyo ya lazima ili kufidia tozo tuache kulalamika tozo zimesaidia kuimarisha sekta muhimu ya afya na elimu
Utakuwa unakalia kichwa sio makalio. Huwezi kuandika upuuzi huu hapa au na wee ni mlaji.

Mtoa mada katoa mfano ulo wazi :watanzania hawana mapato ya kujikimu hata kwenya matumiz ya lazima kama maradhi.

Wee unakuja kusema serikali imesitisha matumizi yasiyo ya lazima. (( labda utuambie ni yapi hayo) .

Kama mkuu wa nchi anakwenda kumzika mtu ambaye hajaifanyia lolote la msingi nchi hii. Kulikuwa na ulazima wakwenda msibani kwa malikia? ((Au hayo ni matumizi ya lazima?)) .

Unapo kuja humu andika vitu vyenye kueleweka . Usidhani sisi tunao katwa hatutaki maendeleo.
 
Masikini ni mtu mlemavu asiye jiweza kwa lolote.
Usitutie umasikini wako mkuu maana sisi tunajielewa na tunajiondoa katika hali hiyo kifikra na kimatendo.
[emoji1] Nashaka na elimu yako. Alafu FAKIRI utamuita nani. Kama masikini ni mlemavu basi wee ni wakwanza coz una ulemavu wa akili, maana hujui kutofautisha kati ya FUKARA NA MASIKINI
 
Serikali imepunguza matumizi yasiyo ya lazima ili kufidia tozo tuache kulalamika tozo zimesaidia kuimarisha sekta muhimu ya afya na elimu
Kabla ya Tozo mambo yalikuwaje?

Unapoweka tozo, ni wananchi wamekuwa na uchumi mzurii au serikali Imefirisika inataka ichangiwe na iendelee na matanuzi yake ama?

Au ni wananchi wanaihudumia serikali..!

Mbona sasa ugumu wa maisha ndio imekuwa balaaa, na umasikini Kwa watu umeongezeka zaidi..
 
Masikini ni mtu mlemavu asiye jiweza kwa lolote.
Usitutie umasikini wako mkuu maana sisi tunajielewa na tunajiondoa katika hali hiyo kifikra na kimatendo.
Una matatizo kichwani

Ikiwa masikini ni mlemavu!

Unapoiita nchi yetu kuwa ni masikini, huwa mnamaanisha nchi yetu ni lemavu?

Pumbavu kabisa!
 
Na bado wanasema ttcl imepata hasara.. aseeee
 
Una matatizo kichwani

Ikiwa masikini ni mlemavu!

Unapoiita nchi yetu kuwa ni masikini, huwa mnamaanisha nchi yetu ni lemavu?

Pumbavu kabisa!
Wewe ndio una matatizo makubwa zaidi.
Maana umeukubali umasikini kama mlemavu, nawe ni mlemavu zaidi wa akili.
 
[emoji1] Nashaka na elimu yako. Alafu FAKIRI utamuita nani. Kama masikini ni mlemavu basi wee ni wakwanza coz una ulemavu wa akili, maana hujui kutofautisha kati ya FUKARA NA MASIKINI
Semantics hazikusaidi kma bado wewe ni masikini.
Ondoa umasikini kwa level yako ya mtu mmoja mmoja na familia yako.
Baadaye Taifa litafaidika kama wengi wanaushughulikia umasikini na kuuondoa.
 
Hii kauli huwa inaniboa kinoma yaani imekaa kubembelezana sana, yeye kama mkuu wa nchi lazima atambue mamlaka aliyonayo na atoe maelekezo/amri ya nn kifanyike na kwa muda gani. Siyo kutoa kauli zenye loopholes au general general kama hiyo
Napata wasiwasi kwamba si yeye anayeongoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…