Niliwahi kusema hapa propaganda za viongozi wa Simba kuna siku wataumbuka na sasa arobaini zao zimefika!

Washabiki na wanachama wa timu za kariakoo wote zumbukuku akuna wa kumcheka mwezake.
Miaka 60 bila uwanja. Hivi niulize mazoezi mnafanyiaga wapi.
Kwani Simba si wanafanyia mazoezi Mo Arena na Yanga ni Avic Town, ..usione pia hawana viwanja,asilimia kubwa kuna figisu toka serikalini wasijenge ili waendelee kupata hela ya malipo ya uwanja wa Benjamin Mkapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na inawezekana umeandika haya yote lakini hata kadi yabuanachama Simba hauna na hauchangii chochote kwenye hiyo Simba yenyewe
 
Usikurupuke ndio maana tunawaambia timu yenu Kuna siku itashuka daraja kwa maana propaganda imekuwa tabia yenu, una uhakika uyo kocha analipwa iyo pesa? Uwezo wa kumlipa kocha iyo pesa akuna kaulize vizuri analipwa shingapi kabla ujakurupuka hapa!
Basi tuambia analipwa sh ngapi maana unajifanya mjuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
= mbumbumbu
 
Mwamedi muhuni sana
 
Andiko lako linaboa kwa wewe kutoandika h kunakotakiwa h. Utaandikaje awa badala ya hawa? Hivi shule mlienda kujifunza ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…