Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuanzia mtani kwangu, masela wangu na hapa na pale. Nilikuwa sipendi kusikia mtu katelekeza watoto au mke wake.
Braza wangu yamemkuta. Aisee usiombe.
Jana tulikuwa kwenye kikao cha kugawana watoto tuanze kuwasomesha na kuwalisha.
Hakuna namna sasa, hawa wanawake wanabadilika sana.
Braza amebaki kama yatima. Mke wake baada ya kupata kazi na kuingiza kipato kumzidi Kaka nyumba imekuwa ya moto.