Niliwatukana sana wanaotelekeza watoto na wake zao. Mnisamehe

Niliwatukana sana wanaotelekeza watoto na wake zao. Mnisamehe

Kama akijifanya nae kutafuta Hela napiga chini
Ninachoamini mimi Mke akishakuwa na Hela sio Mke tena ni Mwanamke
 
Yaani mimi ndo mana sitaki mwanamke mwenye Kipato na ata huyu niliyenae sitaki ashike Hela ni bora apokee rambo tu kuliko kumpa michongo ya Hela

Mfundishe namna ya kuitafuta hela faida ni nyingi kuliko hasara.

Mfano umekufa !

Je si atabidi apambane ili atunze watoto .
 
Back
Top Bottom