Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuna baadhi ya wanawake (sio wote) wakipata uwezo wa kiuchumi kuliko wenza wao huonyesha rangi zao halisi.Mke wake baada ya kupata kazi na kuingiza kipato kumzidi Kaka nyumba imekuwa ya moto
Point ya msingiCha msingi hapa ni kuoa mwenye kipato tayari maana hatazuzuka na atakuwa amekupenda ulivyo
Mpenzi wangu alinambia kabla sijamuoa nimfungulie biashara Ila tofauti na hapo hapana90% Ya wanawake karne hii wanachukulia ndoa kama ajira so akipata ajira nyingine inayomlipa zaidi anaachana na ndoa.
Yaah tunampa moyo kwamba atapona tu ni mapitoKuna baadhi ya wanawake (sio wote) wakipata uwezo wa kiuchumi kuliko wenza wao huonyesha rangi zao halisi.
Mpe pole sana huyo ndugu, yote maisha tu
Ukitazama kwa Postive way unaona kama ni Jambo zuri alipendekeza, lakini nyuma ya pazia huenga angekubwaga kabla hata hiyo ndoa haijafungwa na akaolewa na mwingine.Mpenzi wangu alinambia kabla sijamuoa nimfungulie biashara Ila tofauti na hapo hapana
Ni kama ile kasumba ya Green Pasture90% Ya wanawake karne hii wanachukulia ndoa kama ajira so akipata ajira nyingine inayomlipa zaidi anaachana na ndoa.
HakikaMaombi kwa Mungu yanahitajika sana kabla ya ndoa ili uweze kumpata wakuwa na ww milele had kifo kitakapo watenganisha!
Hahaha.....baasa ya kutafuta helq utaishia wapi?Ngoja ntafute ela kwanza haya mapenzi niusenge sana…
Sidhani....akiwa na kipato hakikiwha unamzidi. Na kwa kuwa cycle yako ni ya watu wenye pesa, basi atakutana na wanaokuzidi.Cha msingi hapa ni kuoa mwenye kipato tayari maana hatazuzuka na atakuwa amekupenda ulivyo
Mi nitaoa mwenye kipato mengine tutajua huko huko!Sidhani....akiwa na kipato hakikiwha unamzidi. Na kwa kuwa cycle yako ni ya watu wenye pesa, basi atakutana na wanaokuzidi.
Bakhresa alipigwa za uso na Mke wake wa Kenya Mombasa.
Je Bakhresa sio Tajiri?
SafiMi nitaoa mwenye kipato mengine tutajua huko huko!
Yaani mimi ndo mana sitaki mwanamke mwenye Kipato na ata huyu niliyenae sitaki ashike Hela ni bora apokee rambo tu kuliko kumpa michongo ya HelaKuanzia mtani kwangu, masela wangu na hapa na pale. Nilikuwa sipendi kusikia mtu katelekeza watoto au mke wake.
Braza wangu yamemkuta. Aisee usiombe.
Jana tulikuwa kwenye kikao cha kugawana watoto tuanze kuwasomesha na kuwalisha.
Hakuna namna sasa, hawa wanawake wanabadilika sana.
Braza amebaki kama yatima. Mke wake baada ya kupata kazi na kuingiza kipato kumzidi Kaka nyumba imekuwa ya moto.