Mtu wa leo Member Joined Apr 21, 2023 Posts 75 Reaction score 97 Dec 30, 2024 #21 Kama akijifanya nae kutafuta Hela napiga chini Ninachoamini mimi Mke akishakuwa na Hela sio Mke tena ni Mwanamke
Kama akijifanya nae kutafuta Hela napiga chini Ninachoamini mimi Mke akishakuwa na Hela sio Mke tena ni Mwanamke
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Dec 30, 2024 #22 Mtu wa leo said: Yaani mimi ndo mana sitaki mwanamke mwenye Kipato na ata huyu niliyenae sitaki ashike Hela ni bora apokee rambo tu kuliko kumpa michongo ya Hela Click to expand... Mfundishe namna ya kuitafuta hela faida ni nyingi kuliko hasara. Mfano umekufa ! Je si atabidi apambane ili atunze watoto .
Mtu wa leo said: Yaani mimi ndo mana sitaki mwanamke mwenye Kipato na ata huyu niliyenae sitaki ashike Hela ni bora apokee rambo tu kuliko kumpa michongo ya Hela Click to expand... Mfundishe namna ya kuitafuta hela faida ni nyingi kuliko hasara. Mfano umekufa ! Je si atabidi apambane ili atunze watoto .
Mtu wa leo Member Joined Apr 21, 2023 Posts 75 Reaction score 97 Dec 30, 2024 #23 DR HAYA LAND said: Mfundishe namna ya kuitafuta hela faida ni nyingi kuliko hasara. Mfano umekufa ! Je si atabidi apambane ili atunze watoto . Click to expand... Ataolewa na mwanaume mwingine ndo ninavyoamini mimi
DR HAYA LAND said: Mfundishe namna ya kuitafuta hela faida ni nyingi kuliko hasara. Mfano umekufa ! Je si atabidi apambane ili atunze watoto . Click to expand... Ataolewa na mwanaume mwingine ndo ninavyoamini mimi