Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
HahahaMaana yake ni kwamba wewe humpi huyo binti hela za matumizi. Wewe ni bahili sana ndio maana binti aliamua hata adanganye ili umpe pesa.
Usivyo na akili na ubahili wako bado ukakomaa hadi ukapajua kwao ili mradi uhakikishe ili usitoe 50k.
Kaka mpe huyo mtoto hela ya matumizi. Kama umempenda basi mhudumie, acha ubahili.
Elfu 50 tu unatafta kwao binti hadi upajue, akiomba laki 5 si itakua balaa, utatafta hadi makaburi ya babu zake.
We acha tu siku hizi hakuna fornula ya how to find a good wife,kila mtu apite njia yake kikubwa ndoa idumu,kupata mke ni mtihani sanaKwanini huwa mnasubiri mpaka muombwe hela?
Umempa sifa zote za mwanamke ila hela humpi daaa
50k kama huna mpe hata nusu basi
Kwenda kwao ilikuwa upajue kitambo sana na kujitambulisha
Hapo ndio wengi mnafeli
Haya umejitambulisha kwa mama mkwe au nae uliwahi kumuona mitaani
Subra huvuta kheri, utapata tu kama nilivyopata mimi sio mmoja bali wawili πWe acha tu siku hizi hakuna fornula ya how to find a good wife,kila mtu apite njia yake kikubwa ndoa idumu,kupata mke ni mtihani sana
Nilimwambia anipitie asubuhi twende wote hospitali akaanza kuchengachenga,kipimo chaje kilifeli maana nilionyesha kuguswa na kuuguliwaJe, kama na yeye alikuwa anaupima mzani wa mapenzi yako kwake?
"Mtu hawezi kuwa na imani na wewe ikiwa na wewe huna imani naye.".
Ka efu50 tu ndo kakuhangaishe ivo na wewe? Si ungempea tu? Ukute hata ndo alikuwa ana shida zake ila ndo ivo baby mkono wa birika, baniani,Nilimwambia anipitie asubuhi twende wote hospitali akaanza kuchengachenga,kipimo chaje kilifeli maana nilionyesha kuguswa na kuuguliwa
Umgekuwa unampa hela asingewaza kukuchukulia hela kwa njia ya uongo. Mpe hela ana shida zake za kutatua. Tofauti na hilo tatizo unaweza kuoa.Kupata mke kazi ndugu zanguni.
Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja.
Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila mtoto.
Hakujua kuwa mimi ujanja wa kizamani nilishaupitia,nikapambana mpaka nikafika kwao maana awali sikuwa napajua wala sina namba yandugu yake wa karibu.
Namkuta mama wa watu yuko anafagia uwanja.binti kuniona kakimbia mpaka naondoka hajarudi
Sasa ndiyo ufanye suprise za kuingia ingia ukweni kisa efu50 hata kama kadanganya? Huna adabu kabisa afu efu50 kama inakutoa jasho ivo vipi mahari ungetoa?Tatizo kunidanganya,nilimwamvua asubuhi twende hospitali kumcheki mama mkwe alivyoanza kuchenga tu nikajua hapa kuna kitu
Inaelekea mgumu sana kutoa hela 50k tu umeifungia safari.Kupata mke kazi ndugu zanguni.
Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja.
Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila mtoto.
Hakujua kuwa mimi ujanja wa kizamani nilishaupitia,nikapambana mpaka nikafika kwao maana awali sikuwa napajua wala sina namba yandugu yake wa karibu.
Namkuta mama wa watu yuko anafagia uwanja.binti kuniona kakimbia mpaka naondoka hajarudi
IdiotKupata mke kazi ndugu zanguni.

Ndio hiyo, kuwa makin tuuMara kadhaa anakuja gheto hajawahi hata kudokoa hata mia,nadhani hapatatizo sio wizi baki uongo