Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole


Mjinga kama wewe ndiyo chadema wanategemea ....Muulize lissu kuhusu JPM LEO HII UTAONA ANA TUBU...CCM INATAMANI SANA UPINZANI UKIWA NA WAJINGA WAJINGA KAMA WEWE KWA SABABU NI RAHISI SANA KUTUMIKA NA MAFISADI ...WALIO MWEKA NDANI LISSU LEO NDIYO WALE WALE WALIO MWITA JPM DIKTETA NA WALITOKA MBIO KUMTIZAMA LISSU AKIWA HOSPITAL...LISSU KWA KUKOSA KWAKE AKILI HAKUTAMBUA KUWA ADUI YAKE MKUU NDIYE HUYU HUYU ADUI WA TAIFA ...LISSU AKAWAFANYA MAADUI WA TAIFA KUWA MARAFIKI ZAKE ...SASA HAO MAADUI WA TAIFA WALIOKUWA WANAMCHUKIA JPM NA KUMCHAFUA NDIYO WAMESHIKA NCHI KWA SASA NDIYO WANAUA WAZALENDO NA KUMFUNGA LISSU HADI SASA.
 
🚮
 
Kamuulize lissu ..siku zote nasema hapa , wapumbavu mnajifunzaga kwa hasara na maumivu na uchungu mkubwa sana...ndiyo yaliyo mkuta lisdu na chadema pia
Umenena vyema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…