Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Mkuu umeongea vema sana, hasa hii pointi namba 10 nimeipenda bure. MaCCM ni majitu yenye akili za kikenge.....kusikia kwa kenge, hadi atoke damu masikioni. Haya majitu bila kuyakazia, yatakula hazina ya taifa itabki tupu! Kumbuka walipomuua Magufuli, waliingia benki kuu (BoT) wakakomba hadi senti ya mwisho.

Bi Chura alipoingia madarakani hakukuta hata thumuni huko hazina. Ndipo akalazimika kuanza kuwalamba makalio mabeberu wamkopeshe fedha na yeye akawauzia hazina yote ya dhahabu iliyobakishwa huko BoT na majitu yaliyomuua Mgufuli.

Baada ya matukio ya MO29, Bi chura amefungiwa milango na mabeberu, sasa amebaki kama nungayembe anahangaika. Ndio maana siku hizi akijipaka mkorogo unadunda. Sio kwa sababu nyingine bali ni kwa sababu ya mawazo aliyo nayo, hasa baada ya madeni ya nchi kufikia kiwango cha kutokopesheka tena.

Licha ya hilo, pesa kidogo za umma zilizosalia hazina, ndio hizo hizo wanachota na kuzitumia kumwandama Heche kupitia kwa Adul Samia na mamluki wengine waliowachomeka ndani ya vyama vya upinzani. Damu za watu hazijawahi kumuacha mtu salama. Nchi hii imejaa upumbavu kila kona.
 
Umesema kweli
 
Ukiwa kwenye siku zako kumbe huwa una akili eeeh?
 
Hakuna msingi wowote wa maana aliouacha sahivi kila mtu anajionea
Kiongozi mzuri anaacha misingi magufuli hakuacha misingi yeyote ile
 
The author has seemingly come to his senses only after losing favour and being sidelined by the current despotic regime.

The author was on a record of being a blind follower of dictator John Pombe Magufuli and he was one of those sycophants who lauded the late tyrant while disregarding his authoritarian disposition during his stint at the helm that merely lasted for five years.

Needless to say the incumbent president was the second in command to the previous head of state and the atrocities that are attributed to that regime had the blessings of the current president and there is no way she can be exonerated of them.

The author needs to bear in mind that the atrocities being committed to the limbless people of this country today are not new but just the continuation of the past ones that the same people endured during the Magufuli era the regime which he praised to the skies.
 
Ngoja wakuzingire.
 
Ni Bora kudili na mbwa maana bosi wao hafikiki
Mbwa wanaosubiri kutumwa walioko benchi ni wengi, wanasubiri fursa ili nao wapate vyeo, wasifiwe na wapate marupurupu ya zaida. Kuendelea kuwepo kwa hao wafuga mbwa basi tuelewe kwamba mbwa wataendelea kuwepo tu hata kama si mbwa hawa wanaotumika kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…