Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,804
- 3,113
Bati nimenunua Sh. 4,800,000 zote na hakuna baki hata moja. Hizo ni Bati pamoja na kofia na valley. Bati nilinunua elfu 31 kwa bati moja sawa na 10333 kwa Mita moja ya bati la geji 30. Hiyo ni bei ya Septemba au Oktoba 2021Baati ulinunua shilling ngapi?