Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

Mmmh we jamaa umezidi sasa, nyumba ya vyumba vitatu uijenge hadi kupaua kwa 7.5 M??[emoji28]

Sio nyumba ni kajumba , nimavyojua mimi, msingi tu wa maana utachukua zaidi ya 2.5M endapo akijenga kwa kujibana sana.

Kabisa ni kajumba hako [emoji3]
 
Mmmh we jamaa umezidi sasa, nyumba ya vyumba vitatu uijenge hadi kupaua kwa 7.5 M??😅

Sio nyumba ni kajumba , nimavyojua mimi, msingi tu wa maana utachukua zaidi ya 2.5M endapo akijenga kwa kujibana sana.
Unaweza kuchukua hadi mil.10 inategemea unajengaje na unatumia nini kujenga..

Narudia nyumba ya vyumba 3 unaweza ijenga kwa mil.7.5 hadi kuezeka, acheni kutisha Watu.
 
Si tunazungumzia nyumba yeye analeta habari za kujenga vibanda, hivi nyumba standard kabisa ya vyumba vitatu utajenga hadi kupaua kwa 7.5M? 😅
Nyumba ya vyumba 3 inatakiwa iwaje ? Kwani nikijenga Kama darasa afu nikaongezea kivaranda tuu na nikaezeka Bati nyeupe,hiyo 7.5m itaishaje?
 
Bati moja la futi 10 migongo mipana linaanzia 33k hadi 41k kulingana na kampuni. Na migongo midogo kuanzia 27k hadi 39k.
Kupaua nyumba ya kawaida yenye vyumba 3, sebule,dinning, stoo na jiko utahitaji si chini ya 4m kwa bati na misumari pekee. Hapo bado fundi
33k hiyo k ndio ngapi hebu eleza
 
Hii inajumlisha na gharama za fundi au?
Kila kitu hapo,kwetu fundi anapewa 350,000 kujenga msingi wa mawe..

NYie watu wa Dar hamtakaa mumiliki nyumba maana gharama za ujenzi huko ni kubwa Sana..

Wakati mimi nanunua tofari za kuchoma hadi site kwa 120,, wewe block moja kwa bei ya chini ni 1,000 .
 
Of which ni less kulingana na cost za kupaua ,why unatuambia ujenzi unaanza baada ya kupaua [emoji56] mimi nikishapaua uko kwingine nateleza tu labda kwenye aluminium ,kwa upande wangu ujenzi nimeanza kuuona wakati wa kupaua
Nadhani kupaua ndio gharama zaidi na hata boma ni gharama sana sijui kwa Nini linachukuliwa poa mi Niko site mda huu boma la vyumba 4 sebule jiko na vikona Kona imeondoka na 10 ml ila kupaua angalau imekuwa 4.5 na navoendelea zinashuka zaidi mfano blundering imekaa kwa 6bucks wakati plasta Ina range 1.5 ml na jamvi lake na chemba za choo ,umeme 1ml so ukipaua na kuchimba shimo hapo unakuwa uko mbali sana
 
Finishing ni gharama sana. Ndio maana amesema hivyo. Hakuna kuteleza kwenye finishing ndio maana boma zenye bati zipo nyingi watu wamezitelekeza [emoji28][emoji28][emoji28]
Finishing ni ghali ila kama eneo ni zuri wengine wanahamia na kuifanya taratibu
 
Ndio mkuu...kulaua ndio gharama kubwa kuliko any other stage. Ukimaliza kupaua nyumba imeisha hiyo...tia kashata madirishani mengine unafanya ukiwa humo ndani
Kupaua haifikii boma mkuu lbda kama umeondoa kwenye gharama
 
Back
Top Bottom