kijanamimi
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 245
- 174
Mmmh we jamaa umezidi sasa, nyumba ya vyumba vitatu uijenge hadi kupaua kwa 7.5 M??[emoji28]
Sio nyumba ni kajumba , nimavyojua mimi, msingi tu wa maana utachukua zaidi ya 2.5M endapo akijenga kwa kujibana sana.
Si tunazungumzia nyumba yeye analeta habari za kujenga vibanda, hivi nyumba standard kabisa ya vyumba vitatu utajenga hadi kupaua kwa 7.5M? 😅Kabisa ni kajumba hako [emoji3]
Unaweza kuchukua hadi mil.10 inategemea unajengaje na unatumia nini kujenga..Mmmh we jamaa umezidi sasa, nyumba ya vyumba vitatu uijenge hadi kupaua kwa 7.5 M??😅
Sio nyumba ni kajumba , nimavyojua mimi, msingi tu wa maana utachukua zaidi ya 2.5M endapo akijenga kwa kujibana sana.
Unaweza kuchukua hadi mil.10 inategemea unajengaje na unatumia nini kujenga..
Narudia nyumba ya vyumba 3 unaweza ijenga kwa mil.7.5 hadi kuezeka, acheni kutisha Watu.
Nyumba ya vyumba 3 inatakiwa iwaje ? Kwani nikijenga Kama darasa afu nikaongezea kivaranda tuu na nikaezeka Bati nyeupe,hiyo 7.5m itaishaje?Si tunazungumzia nyumba yeye analeta habari za kujenga vibanda, hivi nyumba standard kabisa ya vyumba vitatu utajenga hadi kupaua kwa 7.5M? 😅
Msingi 1,000,000.Toa mchanganuo atleast roughly wa jinsi 7.5m inavyoweza kujenga 3 bed rooms house! Spit fact
Ndomaana nikasema unajenga kibanda sio nyumba.Msingi 1,000,000.
BOMA =2,500,000.
Kuezeka = 4,000,000
Nb; Hata ikizidi haiwezi ku cross 8,000,000
Unamwita mkuu kwaniniUsiache mkuu, we komaa tu
33k hiyo k ndio ngapi hebu elezaBati moja la futi 10 migongo mipana linaanzia 33k hadi 41k kulingana na kampuni. Na migongo midogo kuanzia 27k hadi 39k.
Kupaua nyumba ya kawaida yenye vyumba 3, sebule,dinning, stoo na jiko utahitaji si chini ya 4m kwa bati na misumari pekee. Hapo bado fundi
Msingi 1,000,000.
BOMA =2,500,000.
Kuezeka = 4,000,000
Nb; Hata ikizidi haiwezi ku cross 8,000,000
Kila kitu hapo,kwetu fundi anapewa 350,000 kujenga msingi wa mawe..Hii inajumlisha na gharama za fundi au?
K=100033k hiyo k ndio ngapi hebu eleza
Kila kitu hapo,kwetu fundi anapewa 350,000 kujenga msingi wa mawe..
NYie watu wa Dar hamtakaa mumiliki nyumba maana gharama za ujenzi huko ni kubwa Sana..
Wakati mimi nanunua tofari za kuchoma hadi site kwa 120,, wewe block moja kwa bei ya chini ni 1,000 .
Sababu ndio jina lake akiwa huku JfUnamwita mkuu kwanini
hataki vishawishi ndio kwanza kamaliza hela kwenye kujenga hawezi afford anasa wakuuAnachelewa sasa--- Au hajaona hiyo dp?
Nadhani kupaua ndio gharama zaidi na hata boma ni gharama sana sijui kwa Nini linachukuliwa poa mi Niko site mda huu boma la vyumba 4 sebule jiko na vikona Kona imeondoka na 10 ml ila kupaua angalau imekuwa 4.5 na navoendelea zinashuka zaidi mfano blundering imekaa kwa 6bucks wakati plasta Ina range 1.5 ml na jamvi lake na chemba za choo ,umeme 1ml so ukipaua na kuchimba shimo hapo unakuwa uko mbali sanaOf which ni less kulingana na cost za kupaua ,why unatuambia ujenzi unaanza baada ya kupaua [emoji56] mimi nikishapaua uko kwingine nateleza tu labda kwenye aluminium ,kwa upande wangu ujenzi nimeanza kuuona wakati wa kupaua
Finishing ni ghali ila kama eneo ni zuri wengine wanahamia na kuifanya taratibuFinishing ni gharama sana. Ndio maana amesema hivyo. Hakuna kuteleza kwenye finishing ndio maana boma zenye bati zipo nyingi watu wamezitelekeza [emoji28][emoji28][emoji28]
Kupaua haifikii boma mkuu lbda kama umeondoa kwenye gharamaNdio mkuu...kulaua ndio gharama kubwa kuliko any other stage. Ukimaliza kupaua nyumba imeisha hiyo...tia kashata madirishani mengine unafanya ukiwa humo ndani
Jifunge ila unaweza kupaua kwa gharama ndogo zaidiAhsante...duh, ngoja nijifunge mkanda...
Nimenunua 28,000 migongo mipana na Niko site aisee kuwa makini mno na Mungu akuongoze Kuna wakati mafundi wanatupigaAh, fundi alinambia 45k migongo mipana, ngoja nikaulize dukani