Niliyokutana nayo katika safari yangu ya jahazi kutoka Wete(Pemba) mpaka Tanga, vimbwanga vya mabaharia

Hiyo cha mtoto,
Kuna siku tuko kwenye meli kwenda Latvia huko tukafika vizuri.
Kurudi sasa,bahari ishachafukwa,meli inabebwa inageuzwa hotelini hapakaliki vyumbani hakulaliki.
Vijana wangu wanalia tu.
Ilikua km Titanic.
Mungu saidie tulifika salama ila watoto wameapa hawapandi tena meli(tourist)3000 psg na lori mizigo kibao huko chini
 
Wapuuzi hao kama wapuuzi wengine kwenye biashara, hawajali wateja bali ngebe zao. Matapishi ni masafi kuliko viatu?!
 
Safari ya kama km 60 mnatumia masaa 8!!! Hivi ukitoka Pemba si ndani ya muda mfupi tu unaanza kuiona pwani ya Tanga?
Sasa kama kuna muda mashine imezimwa na abiria wakafanywa katuni za kuchekesha baharia, hapo kuna kufika kwa wakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…