Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Walimu wa mara majungu sana huko ukipata kazi ya ualimu unaipiga chini unaingia kitaa unauza karanga maisha yasonge tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii yenyewenyie ndio mnafanya mpwayungu awaponde, kutakiana mabaya tu, unadhan ukipewa wewe ukuu hapo itakusaidia nini? Heb nambie wakuu wa shule unawajua wenye nyumba nzuri na Gari, kama wapo wachunguze kama hawana chanzo kingine cha mapato. Hiyo posho ya 250,000 Kwa mwez ni ya kawaida Sana, haiwez kukupeleka sehem Zaid ya kubana muda wako wa kufanya mengine.
Fanya mambo yako ndugu yangu, kama mwenzio anafanya mambo yake na kazini anakuja mara chache, hiyo ni fursa sio Jambo la kulalamika, tumia na wewe fursa. Mwisho wa yote wakat unastaafu hujajenga kila mtu atakucheka hakuna atakayekumbuka juhudi zako. Fanya kazi Kwa kadri na ujipe muda wa kufanya mambo mengine. Kuna hela nyingi nje ya ualimu na hakuna kaz nzur kama ualimu Kwa mtu anayejitambua maana ni kazi inayokupa muda wa kufanya mambo yako ilimradi usijifanye unajua kaz ukapewa cheo, itakuchelewesha sana