Niliyoyabaini katika Operesheni ya Polisi dhidi ya watuhumiwa wa Panya Road - Dar es salaam

We nae kumbe huna akili, unawatetea hao majambazi, inafaa nawewe ukamatwe upewe stahiki yako,

Yaani ungejua hao vijana jinsi walivyo jeruhi watu kule maeneo ya tegeta na kunduchi, kawe wameua kabisa, na kwingineko pia,Tena polisi wameua wachache Sana hao majambazi
Kaka , Ahsante kwa kunishambulia ila hoja yangu ipo very clear sitetei na sitawahi kutetea uhalifu, hata ukisoma nilichokiandika .Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Hakuna sehemu Polisi amepewa mamlaka ya kuuwa mtu kama njia ya kupambana na uhalifu , Polisi wamepewa wajibu wa kuchunguza na kupeleleza sio kuhukumu kwa kupiga mtu Risasi ni Mahakama tuu ndiyo yenye jukumu la kutoa adhabu iwe ni adhabu ya kifo ,kifungo Cha maisha au miaka yeyote hayo hufanywa na Mahakama. Mimi unanishambulia Nina taka Sheria tulizojiwekea tuzifuate na kuziheshimu ,kama hatuzitaki zimepitwa na wakati ktk kupambana na uhalifu tuzibadili, kwanini tuzivunje ???

Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Kusema kweli kubishana ni Mitanzania isiyojua maana ya utawala wa Sheria ni kupoteza muda.

Kubwa wao wanawaamini sana polis ambao kumbe wao ni wahalifu wakubwa.

Kumbuka issue ya wafanyabiashara wa madini wa Mahenge.
Timu ya kijaji ndiyo iliwakuta na hatia ya kuwaua wake wafanyabiashara.

Baadhi ya mapolisi hai walihukumiwa kunyongwa.
Halafu watu hapa wanabwabwaja tu.
Great
 
Ni wapumbavu peke Yao ambao kama kawaida yao si ajabu kusikia wakishangilia wasikiapo fulani kafa.

Watu hao wamekuwa wakiruka ruka kushangilia waitwao panya road kuuwawa bila kujali ni kweli panya road au la.

Kwa tuhuma hizi dhidi ya polisi uchunguzi huru ni muhimu.

Ni dhahiri kuwa wengi wasio na hatia wanauwawa.

Kama Serengeti tusishangae kusikia maandamano ya kubumba na pongezi badala ya watu kuwajibishwa.
You nailed it kaka great
 
Sheria ,katiba , miongozo tuibadili pia kwamba hakuna haja ya Mahakama tena kama mnaona wanachofanya Polisi kukamata watuhumiwa na kuwauwa ni sahihi. Wajibu wa Mahakama nini ????
Mahakama ni kwa watuvwasikivu sio kwa panya road,walichokiganysmtaani kwangu acha tu wawaue
 
Kumbe panya road wanatumiwa na wanasiasa fulani kuvuruga amani ya nchi? Maana panya road wakiachiwa, wananchi wanalalamika, panya road wakikamatwa na kushughulikiwa wengine wanapiga kelele haki zao za binadamu zimekiukwa. Nani yuko nyuma ya panya road? Ukitaka kujibu hilo swali jiulize nani anafaidika na panya road.
Bepari , hoja hapa ni ndogo tuu kwanini hatuheshimu sheria zetu ? , Polisi wanapata wapi mamlaka ya kuuwa.???
 
Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Hakuna sehemu Polisi amepewa mamlaka ya kuuwa mtu kama njia ya kupambana na uhalifu , Polisi wamepewa wajibu wa kuchunguza na kupeleleza sio kuhukumu kwa kupiga mtu Risasi ni Mahakama tuu ndiyo yenye jukumu la kutoa adhabu iwe ni adhabu ya kifo ,kifungo Cha maisha au miaka yeyote hayo hufanywa na Mahakama. Mimi unanishambulia Nina taka Sheria tulizojiwekea tuzifuate na kuziheshimu ,kama hatuzitaki zimepitwa na wakati ktk kupambana na uhalifu tuzibadili, kwanini tuzivunje ???

Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Kuua sio vzr,pole kwa familia za wafiwa,lakini ndugu zangu usiombe ukutane na hao vibaka,utaomba ardhi ipasuke upotee.Niliwahi kuwekwa mtu kati Mitaa ya kawe stend,nikaombwa pesa nikatoa,nikapigwa kata funua,nilipotua chini,Jiwe likatua kichwani!! Damu kama zote,begi likaenda!!Nika Kaa pale chini kama dk mbili,fahamu zikarudi,nikakimbia kama kichaa!!usiombe yakukute,ila kwa vile hii ni vita na panya road,vita Haina macho,huua aliyemo na asie kuhemo,mambo Mengine ni "colateral damage"
 
Kaka Nondo, hongera kwa kujaribu kujenga hoja. Ila hii 'story' yako inakosa kitu muhimu. Haija balance.

1. Una facts za ulichokiandika au ulisimuliwa ulipotembelea 'location?'
2. Kwa mfano, una uhakika hiyo reasonable force ilitumika katika mazingira unayoamini?Maana umeitafsiri reasonable force kirahisi na siyo kulingana na nature ya tukio. Vipi kama mtuhumiwa alitaka kumuua askari na askari alikuwa katika POINT OF NO RETURN? #Twende taratibu. Usalama wa raia na mali zao ni muhimu. Tuzuie uhalifu.[emoji120][emoji120][emoji120]
Kaka Semtawa ,nilifika huko na sikusimuliwa .Kaka Semtawa reasonable force kwa kumpiga mtu Risasi ya Koromeo? ,Kwanini usimpige ya mguu ? Sheria yenyewe kuhusu hiyo reasonable force ipo very clear sio namna unavyosema ,huwezi mpiga mtu Risasi ya Koromeo alafu umukasema kwamba ni reasonable force , mpige ya mguu kumpunguza nguvu. Mwisho Polisi hawana mamlaka ya kutoa adhabu ya kifo kwa watuhumiwa.
 
Polisi fanyeni kazi inatakiwa huyu nondo na moka zake za tandika atembelee familia 200 tatu tu anatujazia ibara za katiba na kiingereza kingi hapa
Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Hakuna sehemu Polisi amepewa mamlaka ya kuuwa mtu kama njia ya kupambana na uhalifu , Polisi wamepewa wajibu wa kuchunguza na kupeleleza sio kuhukumu kwa kupiga mtu Risasi ni Mahakama tuu ndiyo yenye jukumu la kutoa adhabu iwe ni adhabu ya kifo ,kifungo Cha maisha au miaka yeyote hayo hufanywa na Mahakama. Mimi unanishambulia Nina taka Sheria tulizojiwekea tuzifuate na kuziheshimu ,kama hatuzitaki zimepitwa na wakati ktk kupambana na uhalifu tuzibadili, kwanini tuzivunje ???

Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Marehemu J. Nyerere wakati wa uhai wake kipindi Iddi A. Dadaa liyekuwa rais wa Uganda, Iddi Amin alianzisha chokochoko ; mara apige mabomu, mara atukane,mara atoe vitisho n.k. Ikafika mahali mwl. Nyerere akajikuta amefikia POINT OF NO RETURN na akaamuru huyu Jamaa Nduli achapwe. Mara paap! Mataifa wakaanza kumpigia kelele oh. unavunja haki za kibinadamu. Mwl.aliwajibu kwamba Nduli alipokuwa anatutendea visivyo nyie mlikaa kimya hata tulipopiga kelele hamkutoa walau tamko lolote. Sasa nyamazeni .... Ni sawa na hii ya panya rodi.Raia waathirika walipiga kelele sana dhidi ya vitendo vya panya rodi lakini hakuna aliyekemea- watu walikaa kimya kana kwamba panya rodi wameshindikana.Sasa panya rodi wanaadabishwa tayari chap wanajitokeza wenye kuijua sheria na maneno mengi.
Ingefaa ukimya uliokuwepo uendelee wakati ni zamu ya Serikali nayo kuonesha kwamba ipo tena ipo hai.
Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Hakuna sehemu Polisi amepewa mamlaka ya kuuwa mtu kama njia ya kupambana na uhalifu , Polisi wamepewa wajibu wa kuchunguza na kupeleleza sio kuhukumu kwa kupiga mtu Risasi ni Mahakama tuu ndiyo yenye jukumu la kutoa adhabu iwe ni adhabu ya kifo ,kifungo Cha maisha au miaka yeyote hayo hufanywa na Mahakama. Mimi unanishambulia Nina taka Sheria tulizojiwekea tuzifuate na kuziheshimu ,kama hatuzitaki zimepitwa na wakati ktk kupambana na uhalifu tuzibadili, kwanini tuzivunje ???

Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Hebu acha siasa zako kwenye Mambo sensitive yanayogharimu uhai wa watu...Ni Bora ukae kimya

Wakati Watu wanauwawa na panya road sikuona Uzi wako mtoa mada
Deepond,Hoja yangu ipo very clear sitetei na sitawahi kutetea uhalifu, hata ukisoma nilichokiandika .Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Hakuna sehemu Polisi amepewa mamlaka ya kuuwa mtu kama njia ya kupambana na uhalifu , Polisi wamepewa wajibu wa kuchunguza na kupeleleza sio kuhukumu kwa kupiga mtu Risasi ni Mahakama tuu ndiyo yenye jukumu la kutoa adhabu iwe ni adhabu ya kifo ,kifungo Cha maisha au miaka yeyote hayo hufanywa na Mahakama. Mimi unanishambulia Nina taka Sheria tulizojiwekea tuzifuate na kuziheshimu ,kama hatuzitaki zimepitwa na wakati ktk kupambana na uhalifu tuzibadili, kwanini tuzivunje ???

Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Bepari , hoja hapa ni ndogo tuu kwanini hatuheshimu sheria zetu ? , Polisi wanapata wapi mamlaka ya kuuwa.???
Mamlaka yakuua wamepewa na Makala. Lakin baada yakuwakamata hao wahuni wangekuwa wanafanya upelelezi kwenye jamii inayowazunguka kwanza kabla yakutekeleza hukumu ya kifo.
 
Siasa wapi kanaijua basi au makelele tu.Kenyewe kanaongea na kucheka kama Zitto .Ngoja wakabananishe wakapige bisi bisi za makalio ,akili zitarudi tu.
Formula kaka siogopi kukamatatwa au kubananishwa ili mradi nipo ktk mstari wa kutetea katiba ,sheria zetu. sheria zetu zinahitaji uhalifu wowote uchunguzwe ,upelelezwe na kupelekwa mahakamani na Mahakama wataamua adhabu dhidi ya Mtuhumiwa ,sio Polisi kuuwa ,kama kosa langu ni hilo sawa.
 
Ningekuwa RPC au IGP hakuna muhalifu yeyote haswa hao wanao tumia silaha na kuchomoa roho na mali za watu angesalimika ningehakikisha wote wanaingia kaburini, NONDO acha kutetea upumbavu kisa u siasa umekujaa. Hao panya road si wa kutetea hata chembe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hoja yangu ipo very clear sitetei na sitawahi kutetea ,Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Hakuna sehemu Polisi amepewa mamlaka ya kuuwa mtu kama njia ya kupambana na uhalifu , Polisi wamepewa wajibu wa kuchunguza na kupeleleza sio kuhukumu kwa kupiga mtu Risasi ni Mahakama tuu ndiyo yenye jukumu la kutoa adhabu iwe ni adhabu ya kifo ,kifungo Cha maisha au miaka yeyote hayo hufanywa na Mahakama. Mimi unanishambulia Nina taka Sheria tulizojiwekea tuzifuate na kuziheshimu ,kama hatuzitaki zimepitwa na wakati ktk kupambana na uhalifu tuzibadili, kwanini tuzivunje ???

Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Unaota ndoto ya alinacha mkuu.
Dola inapofanya kazi yake Kwa ajili ya kulinda amani na usalama wa nchi kamwe hakuna mtu anayeweza kushitakiwa.

Huwezi kumshtaki Obama Kwa sababu ya vita au Bush. Walifanya Yale Kwa ajili ya uslama wa nchi yao na Mali zao.

Hata wewe ukiwajulikana kuwa unawaunga mkono Panya rod watakula kichwa.

Labda ujifiche TU huku kwenye uhuru wa KUTUKANA na kusema chochote.

Hali ya Jiji imerejea wewe unaleta siasa hapa.?

Rwanda ni nchi yenye amani kuliko nchi zote za Afrika lakini amani Ile haikujengwa Kwa maneno Bali vitendo. Eti tukemee uhalifu. Sijui upuuzi Gani bila kuchukua hatua Kali. Rwanda imefikia pale Kwa sababu ya kudili na Wahalifu Kwa nguvu zote.
Mpaka Leo Kigoma Kuna Majambazi Toka Burundi. Kwa Nini hawaingii Rwanda wakaiba na kupora na bunduki zao wanakimbilia Tanzania. Ni Kwa sababu watanzania mtu akishavaa suti mchana tunamuona ni Mtakatifu.
Matokeo yake uhalifu hauishi.

Nondo ni miongoni mwa vinasaba vya kihalifu wa kijambazi Toka Burundi. Tukimsikiliza tutaitumbukiza nchi kubaya kama kwao Burundi.
Miaka ya nyuma majambazi kule Kigoma waliotokea Burundi walikua wanapora na Kubaka.

Kuna watu ni jeuri sana mitaani. Wanabaka watoto wa shule ,wanafira watoto,wanavuta bangi hadharani lakini hatumuoni Mshenzi hata mmoja kama Nondo akisema iundwe tume ikachunguze kiwango Cha uhalifu na mmomonyoko wa maadili na kuomba Polisi waongezewe vifaa vya utendaji au hata kusema kila mitaa zifungwe CCTV Camera kuwabaini Wahalifu. Au kuharakisha vitu kama Vitambulisho vya utaifa. Kuhakikisha kila mtu anajulikana Kwa DNA na Alama za vidole n.k.
Nchi yetu Ina katiba ,sheria za mienendo ya Makosa ya jinai ,PGO,Kanuni za Jumla za Adhabu sheria zote hizi zimeweka utaratibu wa kushughulikia makosa ya uhalifu .

Hakuna sehemu Polisi amepewa mamlaka ya kuuwa mtu kama njia ya kupambana na uhalifu , Polisi wamepewa wajibu wa kuchunguza na kupeleleza sio kuhukumu kwa kupiga mtu Risasi ni Mahakama tuu ndiyo yenye jukumu la kutoa adhabu iwe ni adhabu ya kifo ,kifungo Cha maisha au miaka yeyote hayo hufanywa na Mahakama. Mimi unanishambulia Nina taka Sheria tulizojiwekea tuzifuate na kuziheshimu ,kama hatuzitaki zimepitwa na wakati ktk kupambana na uhalifu tuzibadili, kwanini tuzivunje ???

Ndio maana tuna sheria,katiba , kanuni na taratibu zimeweka utaratibu wa namna ya kupambana na uhalifu .

Ndio maana kuna Mahakama siku zote , ingekuwa Polisi wanaaminika kwa kila Uchunguzi au upelelezi wao kungekuwa hakuna haja ya Mahakama kupima ushahidi na kila siku Polisi wangekuwa wanashinda kesi , ndio maana kuna Mahakama ,ni muhimu sana Ndugu zangu uhalifu ukapambanwa kwa mujibu wa sheria,kama sheria zetu hazifai kupambana na uhalifu tuzibadili ila sio kuzikeuka kwa kumuuwa na kumpiga Risasi Mtuhumiwa.

Hata hao Panya Road wanaofanya uhalifu sheria zipo wakikutwa na hatia wanaadhibiwa sawa na sheria inavyosema kuna kifungo adhabu ya kifo , kifungu cha maisha ,miaka 30 na adhabu zingine . Kwanini wasishtakiwe kwa mujibu wa sheria wajibu wa Polisi ni kufanya upelelezi na uchunguzi kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi sio kuuwa watuhumiwa.

Kama tunaona hakuna haja ya kuchunguza na kushtaki Polisi washinikize sheria zibadilishwe ili iwe rahisi wao kufanya wanachokifanya , hakuna mtu anatetea wahalifu ,ninachotaka utaratibu ufuatwe ktk kupambana na uhalifu na kama sheria zetu ni Butu basi tuzibadili na sio Polisi kuchukua hatua ya kuuwa Watuhumiwa bila kuwapeleka mahakamani.
 
Hakuna mtanzania asiyetaka sheria za nchi kufuatwa, lakini inafika hatua unaona tunakoelekea ni kubaya....kwa mfano kuna kisa kimetokea juzi hapa nchini...jamaa kavamia kwa mjamzito kambaka hadi mauti yamemkuta...mwizi kaondoka na simu ya laki mbili..na suti...alafu eti sheria ifuatwe kumhukumu mtu wa namna hiyo,..polisi wakiwaacha wezi nyie ndo wa kwanza kuirushia maneno ya kejeli...leo wamefanya kile wanapaswa kufanya mnaanza tena ngonjera...Pia unapaswa kutafakari kwanini mtu kama wewe hujafuatwa kama panya road...ni kwa sababu ni dhahiri hujihusishi na vitendo hivyo...lakini mbona vijana wengi sana ambao hawajihusishi na wizi wa namna hiyo wako salama na wanaendelea na shughuli zao? Rejea operation ya hayati Mkapa ya kutokomeza unyang'anyi wa kutumia silaha ulivyo saidia kanda ya ziwa... Tuweke siasa pembeni panya road si vijana wa kucheka nao.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Blacks Mirror ,lazima sheria ifuatwe sababu karibu Makosa yote ya jinai ya adhabu yake kupitia (Penal code) ,hivyo ni wajibu wa Mahakama sio Polisi kuuwa.
 
Kuua sio vzr,pole kwa familia za wafiwa,lakini ndugu zangu usiombe ukutane na hao vibaka,utaomba ardhi ipasuke upotee.Niliwahi kuwekwa mtu kati Mitaa ya kawe stend,nikaombwa pesa nikatoa,nikapigwa kata funua,nilipotua chini,Jiwe likatua kichwani!! Damu kama zote,begi likaenda!!Nika Kaa pale chini kama dk mbili,fahamu zikarudi,nikakimbia kama kichaa!!usiombe yakukute,ila kwa vile hii ni vita na panya road,vita Haina macho,huua aliyemo na asie kuhemo,mambo Mengine ni "colateral damage"
Pole sana kaka Juan , hoja yangu hata ukisoma andiko langu sio kutetea wahalifu ,Police wana jukumu la Kulinda Amani na kupambana na uhalifu ila iwe kwa mujibu wa sheria zilizopo na tulizojiwekea . Polisi haina mamlaka ya kutoa adhabu ya kifo kwa Mtuhumiwa . Bali wenye mamlaka ya kutoa adhabu ni Mahakama . wajibu wa Polisi ni kukamata, kupeleleza na kesi kupelekwa mahakamani.Ushahidi wa Polisi utapimwa ili kuisaidia Mahakama kufanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom