Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Mwingine huyu katika maisha yako hujawahi kuona uwongo na umejuaje kama huo uwongo ukiwa wewe mwenyewe muongo na bila ya uongo mambo mengi yatakwama that's why Mungu anakuambia yeye anajua kila kitu halafu ukiiba anaenda kukuchoma huoni hapo tayari anadanganya maana hata yeye hajui kila kitu kama angekuwa anajua kila kitu asingeweka adhabuAcha uongo
Shukran mkuu....nmeweka picha za ndoa ukutani.....isjekuwa mambo hayaendi coz of itπ€¨Ni hatari, picha huvuta negative Energy ambayo huvutia viumbe wabaya kuja, pia inafukuza au kuzuia Positive Energy ambayo huvutia viumbe wazuri kama Malaika
Ni vyema ukaziweka kwa mfumo wa kitabu ila sio ukutaniShukran mkuu....nmeweka picha za ndoa ukutani.....isjekuwa mambo hayaendi coz of itπ€¨
Shukran mkuu nmepata somo zuri sanaNi vyema ukaziweka kwa mfumo wa kitabu ila sio ukutani
Nipe somo nishachoka maisha hayaLakini mpaka leo chumba changu sikielewi kabisaaa
Pamoja mkuuShukran mkuu nmepata somo zuri sana
Mkuu somo ganiNipe somo nishachoka maisha haya
Is either unaumwa, una delusions ama umeamua kutuchora tu hapa....eti light and sound level hahaaaaaaaMwingine huyu katika maisha yako hujawahi kuona uwongo na umejuaje kama huo uwongo ukiwa wewe mwenyewe muongo na bila ya uongo mambo mengi yatakwama that's why Mungu anakuambia yeye anajua kila kitu halafu ukiiba anaenda kukuchoma huoni hapo tayari anadanganya maana hata yeye hajui kila kitu kama angekuwa anajua kila kitu asingeweka adhabu
Mkuu njia rahs ya kuwasiliana na wapendwa wetu waliotangulia ni ipi?....manake mama aliondoka sijamalza mazungumzo naePamoja mkuu
Mkuu kuhusu kuzungumza na mtu aliye tangulia sifahamu, ila mada inahusu kuzungumza na roho za giza (demons)Mkuu njia rahs ya kuwasiliana na wapendwa wetu waliotangulia ni ipi?....manake mama aliondoka sijamalza mazungumzo nae
Umeshawahi kumuona mtu mrefu mpaka mawinguni na ameachama mdomo wazi kama anacheka?Uliwaita majini ya kike na upwiru wako, wamekuja kukuonyesha show unawafukuza πΉπΉπΉ
Dah.!! Nimecheka sana.!!
Ngoja nijaribu hiyo nione mijini ya kiume
Mambo ya humu ni mazito kumbeWengi hawajui lakini nakuambia sauti za mamlaka zipo nyingi sana hata yule jini makata unaweza kumcomand akakusaidia siri kubwa ambayo wengi hawajui ni kuwa njia ya kuwaita au kuwatumia mm Namtumia Belzebul nampenda haringi natumia njia ya kumuita kwa maneno ya kishetani hivyo spirit ambazo hazina nguvu zinamuogopa sana huyo ni baada ya lusifa Rocofog
Khudam ni kiarabu.Aaaah video au picha ya wale khudam achana nayo.Maana ni side effect yao walipokuja
Ngojea tujaribu hili hapa halafu tuone inatikiπ€π€π€.
Kuna show moja inaotwa Beyond belief fact or fiction huwa inaonyesha mambo kama haya!Kuna makala moja ya kizungu mashuhuda wanaelezea mambo ya ajabu waliyokutana nayo. Mwanamke mmoja alielezea kitu kama hiki aisee.
Alisema walipokuwa mabinti yeye na dada yake walicheza huo mchezo kisiri bila ya wazazi wao kujua ila matokeo yake ni kama walizikaribisha hizo entity kwenye familia yao. Ikawa ni kisanga mtafutano kila ikifika mida ya giza.
Khudam ni wingi mmoja ni khaadim.Khudam ni kiarabu.
Kwa Kiswahili wanaitwa wahudumu.
Ndugu yangu wahudumu wa kazi gani tena ππππ
Inapatikana wapi hiyo mkuu u tube auKuna show moja inaotwa Beyond belief fact or fiction huwa inaonyesha mambo kama haya!
Kuna mambo yanawatokea watu ni ya ajabu sana. Unaweza kudhani kama stori fulani ila kuna watu yawawatokea.
Hazikupaswa kuwa Siri, ndymaana hata kwenye vitabu vimeandika. Ila uelewa mdogo na ukosefu wa imani ndyo tatzo watu hawazingatii.Surah Al-Jinn. Imeeleza mambo kadha wa kadhaa kuhusu majini, kuna siri nzito sana kwenye huu ulimwengu.
Hallelujah!!!
Too lateIs either unaumwa, una delusions ama umeamua kutuchora tu hapa....eti light and sound level hahaaaaaaa
Kuna aina ya majini wanaitwa Ifrit.Mkuu Mie nitatumia siku moja ama mbili mpaka linakamilika hilo jambo.
Trust me.
Tena napanda boat naenda nao Pembaaaaππππππ.