Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Acha uongo
Mwingine huyu katika maisha yako hujawahi kuona uwongo na umejuaje kama huo uwongo ukiwa wewe mwenyewe muongo na bila ya uongo mambo mengi yatakwama that's why Mungu anakuambia yeye anajua kila kitu halafu ukiiba anaenda kukuchoma huoni hapo tayari anadanganya maana hata yeye hajui kila kitu kama angekuwa anajua kila kitu asingeweka adhabu
 
Ni hatari, picha huvuta negative Energy ambayo huvutia viumbe wabaya kuja, pia inafukuza au kuzuia Positive Energy ambayo huvutia viumbe wazuri kama Malaika
Shukran mkuu....nmeweka picha za ndoa ukutani.....isjekuwa mambo hayaendi coz of it🤨
 
Mwingine huyu katika maisha yako hujawahi kuona uwongo na umejuaje kama huo uwongo ukiwa wewe mwenyewe muongo na bila ya uongo mambo mengi yatakwama that's why Mungu anakuambia yeye anajua kila kitu halafu ukiiba anaenda kukuchoma huoni hapo tayari anadanganya maana hata yeye hajui kila kitu kama angekuwa anajua kila kitu asingeweka adhabu
Is either unaumwa, una delusions ama umeamua kutuchora tu hapa....eti light and sound level hahaaaaaaa
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Uliwaita majini ya kike na upwiru wako, wamekuja kukuonyesha show unawafukuza 😹😹😹
Dah.!! Nimecheka sana.!!
Ngoja nijaribu hiyo nione mijini ya kiume
Umeshawahi kumuona mtu mrefu mpaka mawinguni na ameachama mdomo wazi kama anacheka?

Au umeshawaona watu wana rangi ya kijivu?
 
Wengi hawajui lakini nakuambia sauti za mamlaka zipo nyingi sana hata yule jini makata unaweza kumcomand akakusaidia siri kubwa ambayo wengi hawajui ni kuwa njia ya kuwaita au kuwatumia mm Namtumia Belzebul nampenda haringi natumia njia ya kumuita kwa maneno ya kishetani hivyo spirit ambazo hazina nguvu zinamuogopa sana huyo ni baada ya lusifa Rocofog
Mambo ya humu ni mazito kumbe
 
Aaaah video au picha ya wale khudam achana nayo.Maana ni side effect yao walipokuja
Ngojea tujaribu hili hapa halafu tuone inatiki🤭🤭🤭.
Khudam ni kiarabu.
Kwa Kiswahili wanaitwa wahudumu.

Ndugu yangu wahudumu wa kazi gani tena 😂😂😂😂
 
Kuna makala moja ya kizungu mashuhuda wanaelezea mambo ya ajabu waliyokutana nayo. Mwanamke mmoja alielezea kitu kama hiki aisee.

Alisema walipokuwa mabinti yeye na dada yake walicheza huo mchezo kisiri bila ya wazazi wao kujua ila matokeo yake ni kama walizikaribisha hizo entity kwenye familia yao. Ikawa ni kisanga mtafutano kila ikifika mida ya giza.
Kuna show moja inaotwa Beyond belief fact or fiction huwa inaonyesha mambo kama haya!

Kuna mambo yanawatokea watu ni ya ajabu sana. Unaweza kudhani kama stori fulani ila kuna watu yawawatokea.
 
Khudam ni kiarabu.
Kwa Kiswahili wanaitwa wahudumu.

Ndugu yangu wahudumu wa kazi gani tena 😂😂😂😂
Khudam ni wingi mmoja ni khaadim.
Hiyo ni kiistwilagha ndio watumishi ama wahudumu.
Ila kisharia ni wahudumu wa kiroho ama kiruuhaani kaka.
 
In
Kuna show moja inaotwa Beyond belief fact or fiction huwa inaonyesha mambo kama haya!

Kuna mambo yanawatokea watu ni ya ajabu sana. Unaweza kudhani kama stori fulani ila kuna watu yawawatokea.
Inapatikana wapi hiyo mkuu u tube au
 
Surah Al-Jinn. Imeeleza mambo kadha wa kadhaa kuhusu majini, kuna siri nzito sana kwenye huu ulimwengu.

Hallelujah!!!
Hazikupaswa kuwa Siri, ndymaana hata kwenye vitabu vimeandika. Ila uelewa mdogo na ukosefu wa imani ndyo tatzo watu hawazingatii.
 
Mkuu Mie nitatumia siku moja ama mbili mpaka linakamilika hilo jambo.
Trust me.
Tena napanda boat naenda nao Pembaaaa😂😂😂😂😂😂.
Kuna aina ya majini wanaitwa Ifrit.

Hawa wana nguvu bhana kuliko jamii nyengine za majini kwa sababu majini yamezidiana uwezo/nguvu.

Hawa wakikuvaa kuwatoa mtiti! Uende kwa mchamungu kweli kweli. Ukienda kwa mbabaishaji wansweza pita nayr naye kimasihara fulani tu mtu akawa kiziwia au kapooza baadhi ya viungo vya mwili.

Kama una makhudam yako yanaweza yakachinjiliwa mbali na Ifriti. 😂😂😂😂

Mbali na hapo kama ukienda kwa waganga wataingia nao mkataba au utapatiwa Pete ya aina fulani ya kuivaa ili umdhibiti. Ukiivua tu unalo!
 
Back
Top Bottom