Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

ooh huku baharini kuna bikira mrembo sana,,tulipanga next month tuje duniani kumtaftia mume,, kwakua umejileta na tumekuzoom unafaa
Kuogelea siwezi sasa huko nitafikaje
 
Wakuu mida ya giza kuzisoma story kama hizi hasa ukiwa unalala peke yako ndani huwa unapata ka feeling fulani hivi kazuri kalikochanganyana na uoga yaani sijui imekaaje hii kitaalam.
 
Zipo njia nyingi za kufunguka kiroho, Kila bara au jamii ina njia zake...ubaya ni kwamba Kuna njia nyingi pia zisizo sahihi ambazo huleta balaa tu, choose wisely.
Hakuna njia iliyo salama kwa 100%, kwasababu sio jambo rasmi kuita au kuzungumza na roho za giza
 
Hakuna njia iliyo salama kwa 100%, kwasababu sio jambo rasmi kuita au kuzungumza na roho za giza
Kwa sisi waislam njia salama ipo.
Soma kisomo cha kujilinda cha tahsin au saifir Umar kesha unaanza kumuita.
Kile kisomo kinakulinda dhidi ya nguvu zake za asili na chochote atakacho taka kukufanya.
 
Kwa sisi waislam njia salama ipo.
Soma kisomo cha kujilinda cha tahsin au saifir Umar kesha unaanza kumuita.
Kile kisomo kinakulinda dhidi ya nguvu zake za asili na chochote atakacho taka kukufanya.
Kwa waislamu Allah amekataza kuongea au kujihusisha na hao viumbe
 
Back
Top Bottom