Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

u

naweza kudadavua zaidi ulianzaje,had kufikia hapo ulipo ulipitia mambo gani au sehem zipi? vipi kuhush manufaa kuna faida yoyote umepata kiuhalisia?
simple, fanya zoezi la rohoni hadi ifunguke, na uwe na nidhamu na maisha ya kiroho.. kila roho ina aina za roho ambayo inaambatana
 
meditation inasaidia kusafisha consious yako na kuongeza uwezo wa kuona.. rohoni katika picha safi.. ila lazima utengeneze spiritual patern ambayo itakuwa ni life style
hio spiritual pattern n nini pls mie ni tomaso
 
Ukikaa katika circle of magic hawezi kukudhuru halafu hayo maneno yana nguvu hata angetokea Shetan mkuu Lusifa au Belzebul hakudhuru ukiwa katika magic circle
Ipo siku utakutana nacho endelea na ugunduzi 😹😹😹
 
Back
Top Bottom