Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

Shikamooni wakubwa,

Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.

Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.

Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.

Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?

Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.

Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa😂😂😂 mpaka nijute.

Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.

Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo❤️❤️❤️
Karibu tulale tumalizie usingizi
Ukipata muda nicheki
 
secretarybird uzuri_hatujuani Mbaga Jr Nomadix mnaitwa mkalale na Princess Diana

Asubuhi msisahau kumeza Azuma.
 
Aache kutuhumu watu kwamba wana tabia ya kuandika Siri za wengine.

Likina asisahau kuwa mbususu ni tamu na inapaswa kusakatwa
Hutaki visa ya kuingilia USA?
Screenshot_20250525_183514_Video Player.jpg
 
Shikamooni wakubwa,

Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.

Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.

Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.

Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?

Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.

Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa😂😂😂 mpaka nijute.

Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.

Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo❤️❤️❤️
Karibu tulale tumalizie usingizi
Wewe nakukabidhi kijana wangu wa 2000
Poor Brain
 
Back
Top Bottom