cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Hongeraa sana mwayA, ๐๐๐๐Sijali
Hongeraa sana mwayA, ๐๐๐๐Sijali
AhsanteHongeraa sana mwayA, ๐๐๐๐
PoaaAhsante
HUu uzi bila huyu sio uzi dronedrakeMarry yohana..
Kwanini umenisahau mi amos thomas tulisoma wote
๐๐๐๐๐๐ Kwanini mkorofi sana wewe khaaaMchukue demu wako wa Facebook mnatuchosha..!! ๐น๐น
๐๐๐๐๐๐ Leo nilitaka akubali tuu mi nimalizane nae aiseeeMuone ๐
Acha ugombanishi we jamaa
Sawa vizurihuwa sisemi sana panapohitajika vitendo.
Tuma like ma maziwaShikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.
Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.
Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa๐๐๐ mpaka nijute.
Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.
Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnoooโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
Karibu tulale tumalizie usingizi
KaribuSawa vizuri
AsanteKaribu
Id yako ya zaman n ipi Chica๐Asante
Daaah si ndiyo hii Mkuu ๐ au unaniona nmejoin jana huko ๐๐Id yako ya zaman n ipi Chica๐
Coca acha kujificha Ficha kama Bangi,Si umeona mfano Kwa sister Mary katupia picha zake kiroho safi haya twende kazi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃWaja wa JF leo mmepatwa na nn? Au Mello katingisha settings zake, lol
๐๐๐๐๐๐
mkuu mwenyewe, we wakuniita mkuu kweli? Unataka uninyime nini?Daaah si ndiyo hii Mkuu ๐ au unaniona nmejoin jana huko ๐๐
๐๐๐๐๐Coca acha kujificha Ficha kama Bangi,Si umeona mfano Kwa sister Mary katupia picha zake kiroho safi haya twende kazi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ