min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ka nyamwi now daizi umekua kapole ,umeokoka nini?Dah😅
Ka nyamwi now daizi umekua kapole ,umeokoka nini?Dah😅
Weeee sema kweli MariaShikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.
Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.
Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa😂😂😂 mpaka nijute.
Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.
Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo❤️❤️❤️
Karibu tulale tumalizie usingizi
Ameolewa huyoKa nyamwi now daizi umekua kapole ,umeokoka nini?
Nalea😁Ka nyamwi now daizi umekua kapole ,umeokoka nini?
Safi ,kajomba hakajambo lakini?Nalea😁
Hakajambo alhamdulilahSafi ,kajomba hakajambo lakini?
Kaka umejibu fasta kama umeme ,hongereni lakini😆Ameolewa huyo
kwamba nimemuoa mimi? HahahahKaka umejibu fasta kama umeme ,hongereni lakini😆
MashaAllahHakajambo alhamdulilah
Sijasema hivyo mkuukwamba nimemuoa mimi? Hahahah
We ni mgogo?Hapo ni buchani
mimi nimesema tu kutokana na taarifa zake, alipopata mchumba alisema, siku anatolewa mahari alisema, siku anafunga harusi alisema, alivyofanywa huko honeymoon alisema, mpaka anapata kibend akasema, kibend kikaleta mtoto amesemaSijasema hivyo mkuu
Sema una karangi kazuri MashaAllahHapo ni buchani
Kheee🤣mimi nimesema tu kutokana na taarifa zake, alipopata mchumba alisema, siku anatolewa mahari alisema, siku anafunga harusi alisema, alivyofanywa huko honeymoon alisema, mpaka anapata kibend akasema, kibend kikaleta mtoto amesema
labda kama daladala yangu haisimami 😂Haina haja ya D mbili 😂😂
😂😂😂 sawa njia nyeupe fanya uendelabda kama daladala yangu haisimami 😂
Shwaaaaaaaaaa 🏃♂😂😂😂 sawa njia nyeupe fanya uende
Ila usirudi na vilio 🤗Shwaaaaaaaaaa 🏃♂