Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

Shikamooni wakubwa,

Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.

Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.

Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.

Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?

Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.

Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa😂😂😂 mpaka nijute.

Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.

Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo❤️❤️❤️
Karibu tulale tumalizie usingizi
Extrovert acha uhuni wako mzee 😅😅😅😅
 
Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.
9daaa997b89e89a29229936275ce85a8.jpg
 
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka nijute.

Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.

Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Karibu tulale tumalizie usingizi
Binti wa Mungu Marry kwanza hongera kwa hoja na maneno yenye maana (logic ). Wakati na mimi najiunga humu niliambiwa hivyo hivyo kuhusu kuweka utambulisho wangu wa kweli kuwa ni makosa jina langu halisi na picha aisee mpaka nilijishtukia nikakosa amani. Kuna dada mmoja nikawa nachat nae km kuweka ukaribu tu badae nilikuja kumwomba anitumie picha yake ili tujuane aisee aliruka mbali mno lakini lengo langu likikuwa jema tu,yani kiufupi maneno uliyoyaongea ndo nilitakaga kuongea ila wewe ni km umenisaidia hasa pale uliposema WATU WEMA NA WAAMINIFU BADO WAPO HATA DUNIA IHARIBIKE VIPI.
 
Shikamooni wakubwa,

Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.

Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.

Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.

Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?

Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.

Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa😂😂😂 mpaka nijute.

Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.

Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo❤️❤️❤️
Karibu tulale tumalizie usingizi
Unatafuta mume? Nipo hapa Tajiri wa kusini fuatilia nyuzi nyingi sana watakuwa wananisifu kwa kuwapa misaada ya pesa kiufupi mimi ni tajiri humu njoo PM mrembo
 
Back
Top Bottom