Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

Kwenye ngozi yako, huo wekundu na hizo sugu ni mikorogo hiyo dear, paka vitu vya kukufanya uglow na siyo kujichubua huko. Tafuta skin glow cream shoga ake Lamomy 🤣🤣🤣
Jamani muacheni mahi wangu hizo cream za kuglow huku kwetu uswazi sio vitu vyetu..!!

Tushazoea carolite na maji ya betri 🤣😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…