Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

Kujitoa sana katika timu haihusiani na uzawa
 
Kabla ya mechi nilimwambia Swaiba wangu

"Tukiwafunga leo Kigoma mtatupiga
Na Mkitufunga hii basi Kigoma hamtoki"

Baada ya mechi alinifata akacheka sanaa
 
Ukisoma huu uzi kwa makini unaweza kudhani hakuna haja ya kupoteza pesa na muda wa kuleta kocha kutoka nje ya JF! Maana makocha wa kuweza kuifanya simba bingwa wa dunia wapo hapa JF!!!! Mnachekesha
 
Ukisoma huu uzi kwa makini unaweza kudhani hakuna haja ya kupoteza pesa na muda wa kuleta kocha kutoka nje ya JF! Maana makocha wa kuweza kuifanya simba bingwa wa dunia wapo hapa JF!!!! Mnachekesha
[emoji23] sio tu kuwa makocha

Wanaweza hata kuongoza TFF

Mkuu yaan hatufanani kama alama za viganja.

Tuenjoy tu maana maisha ndo hayahaya
 
Wewe endelea kujifariji na mpira wako huo kila siku..ila mpaka unazeeka utakuwa unaoga kichapo ndegelec[emoji1787][emoji1787]

Unasema Yanga hakutengeneza nafasi kweli unaumwa wewe au unaongea kishabiki...dk za mwanzoni kabisa nusura iwe 3 bila afu unasema hakuna nafasi!!

Dimba muda mrefu lilikamatwa na Yanga sasa kama timu dhaifu utakamataje dimba kwa kiasi kile?!

Wewe endelea kubwabwaja tu ila kila ukitoa pua ni kibondo tu nyambaaaaaff
 
tunacheza kumkamia simba? Mzee upo serious kwahiyo tusicheze vizuri kuhofia tutaonekana tumemkamia simba.....your standards are low na tumetumia udhaifu huo kushinda mechi.
 
Tuisila angetoka halafu angeingia nani?
 
Umeandika takataka
 
Kwani wao WAMELALAJE 😀😀😀😀😀 mji kimya, msipende kwenda uwanjani na maneno ya Manara kichwani huku mkiwa na matokeo yenu mifukoni,mtadondoka mfe kwa presha.
 
Simba naona wana makocha wengi sana sasa sijui wachezaji watamsikiliza yupi. Mpira ni magoli na Simba tayari kafungwa, hayo ya kusema goli limetokana na mpira wa defletion ni kukosa hoja.

Kwa nini basi Simba hakufunga goli lolote lisilo la defletion kama Yanga? Na kama lilikuwa ni la defletion kwa hiyo ina maana halikuhesabiwa.

Uchambuzi mwingine ni wa kijinga sana kwani unachagizwa na ushabiki wa kipuuzi usio na maana.

Simba pamoja na kuonekana kuwa na safu nzuri ya washambuliaji lakini walifulia sana kwa mechi hiyo na laiti kama Yanga wangekuwa na washambuliaji wazuri Simba ingepoteza kwa mabao yasiyopungua matatu, believe me.
 
Huyu ndio popoma
Huwa hakopeshi hata mikia wenzie anawachana
 
Ujumbe huu unawafaa Yanga Utopolo FC na wewe tulinyimwa penalties mbili ifahamike hivyo Utopolo tulieni kama Utopolo tu.
 
Mkuu umetiririka vizuri. Ila kudharau goli la yanga Kwasababu ni deflection imefuta yote uliyoandika hapa juu. Hebu tuambie dakika 30 za mwanzo Mpira ulikuwaje na matokeo ya yanga yalipatikana dakika ya ngapi

Simba walizidiwa dk 30 zote za mwanzo Kwasababu ya chemistry ya wachezaji iliyotengenezwa Jana. Yanga walitumia udhaifu huo hasa maeneo ya Kati kwa Erasto nyoni ambae alionekana kupywaya mapema kabisa na Yanga wakapata goli. Tuwe wakweli pamoja na kikosi Cha Yanga kuwa kibovu lkn walikuwa makini KatiKa kufanya marking muda wote na kufanya blocking ya mipira yote iliyotaka kuleta madhara golini kwao.

Wachezaji wa Simba kwa mechi nyingi huwa mentality yao hujengwa kuwa wakitanguliwa Moja ndio wanaanza kusaka kusawazisha na kuongeza magori mengine lkn approach hiyo kwa Jana iligonga mwamba. Jana Kati hapakuwa vizuri kwa Simba ndo maana akina madevu walianza kulazimisha kupiga mipira mirefu lkn nayo haikuzaa matundan kutokana na umakini wa beki wa yanga kufanya blocking ya mipira ya simba
 
Mkuu me nakuunga mkono na miguu kabisa kwa hoja yako, Simba kama team ipo vzr mno, tatizo kwa Simba lipo katika kupanga mikakati kabambe ya derby, kwa Yanga mechi ya Derby inachezwa nje na ndani, Simba ni tofauti sana. Na ndy maana hata Yanga waliingilia mlango ambao haukuwa rasmi, wakiamini mambo ya ulozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…