Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

Mimi nimeelewa kaburi kwamaana kaona kama vile wakristo wanajengea wanavyosakafia na kuweka msalaba juu au waislam wanavyojenga kuwela alama na mashahid pande 2 kama pamezikwa mtu..
Hii ni chai...πŸ˜…
 
Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
SO WALICHIMBA JUU YA DARI WAKAZIKA???????????????????????????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…