Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Huyu aliyeleta mada alikuwa ni msimamizi wa uchaguzi, anaongea alichokishuhudia. Wewe unaongea dhana!Ni tabia ya walioshindwa kujenga conspiracy theories; hata Trump ameshindwa uchaguzi wakati akiwa rais, naye anatoa theories kama hizi. Ni jambo la kawaida sana kwa walioshindwa kudai wameibiwa kura. Kama uliyaona kwa nini usipeleke uashahidi mahakamani? Angalu Trump amekuwa anakwenda mahakani ambako anakutana na vigingi, tena wakati mwingine kutoka kwa majaji aliowateua yeye mwenyewe.
Kama unaamini bila chembe ya shaka kuwa Maalim Seif alipata kura below 20%, basi ukapimwe akili