Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Huyu aliyeleta mada alikuwa ni msimamizi wa uchaguzi, anaongea alichokishuhudia. Wewe unaongea dhana!Ni tabia ya walioshindwa kujenga conspiracy theories; hata Trump ameshindwa uchaguzi wakati akiwa rais, naye anatoa theories kama hizi. Ni jambo la kawaida sana kwa walioshindwa kudai wameibiwa kura. Kama uliyaona kwa nini usipeleke uashahidi mahakamani? Angalu Trump amekuwa anakwenda mahakani ambako anakutana na vigingi, tena wakati mwingine kutoka kwa majaji aliowateua yeye mwenyewe.
Uchaguzi umekwisha, ataje jina la kituo na jina lake itasaidia tuwe makini tusiibiwe demokrasia uchaguzi wa 2025.Huyu aliyeleta mada alikuwa ni msimamizi wa uchaguzi, anaongea alichokishuhudia. Wewe unaongea dhana!
Kama unaamini bila chembe ya shaka kuwa Maalim Seif alipata kura below 20%,basi ukapimwe akili
Siamini kuwa kweli alikuwa msimamizi bali namuona kama conspiracist fulani anayejaribu kupose kama mtu aliyekuwa msimamizi! Hajatoa proof yoyote ya kunifanya niamini kama kweli alikuwa msimamizi hasa kwa vile anarudia yale yale ya conspiracy theories zilizoko mitaani leo. Hajui electroral politics na anadhani kuwa uchaguzi ni kupiga kelele majukwaani kuomba kura bila kuelewa kuwa huwa kuna grasroot activtities zinazoendelea baada ya mgombea kusimama jukwaani ili kumobilize wapiga kura.Huyu aliyeleta mada alikuwa ni msimamizi wa uchaguzi, anaongea alichokishuhudia. Wewe unaongea dhana!
Kama unaamini bila chembe ya shaka kuwa Maalim Seif alipata kura below 20%,basi ukapimwe akili
Siamini kuwa kweli alikuwa msimamizi bali namuona kama conspiracist fulani anayejaribu kupose kama mtu aliyekuwa msimamizi! Hajatoa proof yoyote ya kunifanya niamini kama kweli alikuwa msimamizi hasa kwa vile anarudia yale yale ya conspiracy theories zilizoko mitaani leo. Hajui electroral politics na anadhani kuwa uchaguzi ni kupiga kelele majukwaani kuomba kura bila kuelewa kuwa huwa kuna grasroot activtities zinazoendelea baada ya mgombea kusimama jukwaani ili kumobilize wapiga kura.
Ni ndoto ya kipuuzi sana kuamini kuwa CHADEMA isiyokuwa na matawi ingeweza kuendesha grasroot electoral politics hadi wapate kura nyingi kiasi cha kushinda urais. Mnyika na Mbowe ndio walioiua CHADEMA ingawa ni vigumu kukubali ukweli huo; wana akili ndogo sana ya kudhani kuwa politics ni maandamanao na mikutano ya hadhara tu. Leo hii Biden kashinda uchaguzi bila kufanya mikutano ya hadhara ingawa Trump alikuwa anaitisha mikutano ya aina hiyo sita au saba kwa siku. Dr Slaa alipokosa urais mwaka 2010 alianza kujenga grasroots za CHADEMA ambazo zilisaidia sana CHADEMA kupata kura nyingi sana mwaka 2015 lakini leo hii hakuna kitu kilichobaki.
Mkosaji yeyote hupenda kupata faraja kwa kutafuta sababu za kukosa
It doesn't matter ukishaanza kula nyama za watu utaendelea tu.Uchaguzi umekwisha,ataje jina la kituo na jina lake itasaidia tuwe makini tusiibiwe demokrasia uchaguzi wa 2025.
Siamini kuwa kweli alikuwa msimamizi bali namuona kama conspiracist fulani anayejaribu kupose kama mtu aliyekuwa msimamizi! Hajatoa proof yoyote ya kunifanya niamini kama kweli alikuwa msimamizi hasa kwa vile anarudia yale yale ya conspiracy theories zilizoko mitaani leo. Hajui electroral politics na anadhani kuwa uchaguzi ni kupiga kelele majukwaani kuomba kura bila kuelewa kuwa huwa kuna grasroot activtities zinazoendelea baada ya mgombea kusimama jukwaani ili kumobilize wapiga kura.
Ni ndoto ya kipuuzi sana kuamini kuwa CHADEMA isiyokuwa na matawi ingeweza kuendesha grasroot electoral politics hadi wapate kura nyingi kiasi cha kushinda urais. Mnyika na Mbowe ndio walioiua CHADEMA ingawa ni vigumu kukubali ukweli huo; wana akili ndogo sana ya kudhani kuwa politics ni maandamanao na mikutano ya hadhara tu. Leo hii Biden kashinda uchaguzi bila kufanya mikutano ya hadhara ingawa Trump alikuwa anaitisha mikutano ya aina hiyo sita au saba kwa siku. Dr Slaa alipokosa urais mwaka 2010 alianza kujenga grasroots za CHADEMA ambazo zilisaidia sana CHADEMA kupata kura nyingi sana mwaka 2015 lakini leo hii hakuna kitu kilichobaki.
Mkosaji yeyote hupenda kupata faraja kwa kutafuta sababu za kukosa
Mahakama gani sasa yenye uwezo Wa kuhoji matokeo ya Uchaguzi?Uchaguzi umeisha wewe hujasikia? Leo ukitueleza upuuzi wako huu unadhani sisi ni UN? Nenda mahaamani
Ndiyo, kwa sababu wapiga kura wengi leo siyo wale wa rika lake la miaka 1980 hadi 1990, hawa ni wa 2020 na wala hajui ana rekodi gani ya kuwafanya wampe kura zao.Unaamini kwa dhati kabisa kuwa Maalim Seif alipata kura below 20% huko Zanzibar na kwamba by all standards matokeo hayo ni sahihi ?
Akatoe ushirikiano wapi? Wakati hakuna Mahakama wala Mtu anaeweza kuhoji matokeo ya Uchaguzi yakishatangazwaUnao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?
Nonsense!Ndiyo, kwa sababu wapiga kura wengi leo siyo wale wa rika lake la miaka 1980 hadi 1990, hawa ni wa 2020 na wala hajui ana rekodi gani ya kuwafanya wampe kura zao.
Crap!Nonsense!
Uchaguzi wa mwaka 2015 huko Zanzibar ambao CCM walibeba mpira wakakimbia nao baada ya kupigwa dhahiri walikuwa kizazi chake?, Hao watu wa mwaka 2015 wamekufa wote hadi wakabaki 20% tu miaka mitano baadae?
Mzee nakuheshimu, naamini una akili kuliko nonsense unazojaribu kuzispit hapa for the sake of arguing!
Hivi mnamtisha nani hapa? kwani nani hajui kama uchaguzi mmeiba... halafu mmeiba kijinga kabisa hakuna asieona. Hebu chutameni kidogo jamani mko uchi vibayaa. mbali ya kuwa nyeti zenu ziko nje lakini pia zimejaa kinyesi na uwezeo kujisafisha hamna tena na hamtaweza tena CCM kujisafisha abadan! Majizi wakubwa nye!Unao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?
Akimbilie mafichoni ubalozi wa USA uganda πππMungu akuepushe na utekaji
Unafahamu kuwa matokeo ya urais yakishatangazwa na tume huwa hayahojiwi na yeyote hata uende mahakamani?. Ulitaka aende mahakama ipi?Ni tabia ya walioshindwa kujenga conspiracy theories; hata Trump ameshindwa uchaguzi wakati akiwa rais, naye anatoa theories kama hizi. Ni jambo la kawaida sana kwa walioshindwa kudai wameibiwa kura. Kama uliyaona kwa nini usipeleke uashahidi mahakamani? Angalu Trump amekuwa anakwenda mahakani ambako anakutana na vigingi, tena wakati mwingine kutoka kwa majaji aliowateua yeye mwenyewe.
Soma hapaunafahamu kuwa matokeo ya urais yakishatangazwa na tume huwa hayahojiwi na yeyote hata uende mahakamani?. Ulitaka aende mahakama ipi?
Pumbavu wewe Ni Mahakama? Wewe ni credible investigative organ hadi upewe ushahidi?Unao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?
Asante sana kwa kutoa angalizo.Ina maana tunapaswa kuamini kila kitu kinachosemwa na mtu? Ukute hata hakuwa msaidizi wa uchaguzi kakaa zake huko kaamua kufungua uzi. Ushahidi ni muhimu kama kweli mnataka wananchi wenye akili zao kuamini na kuwaunga mkono.
Ndiyo; yanaweza kuhojiwa kabla tume haijamtangaza. Siyo sheria nzuri lakini ndivyo ilivyo. Sheria inakataza kuwa akishatangazwa na tume basi hakuna mahakama inayoweza kuyatengua, ila mahakama bado ina mamlaka ya kutengua matokeo hayo kabla tuume haijayatangaza. Ndiyo maana wasimamizi wa uchaguzi huko majimboni walikuwa wanatangaza matokeo ya rais na ya wabunge, kama mtu hakukubaliana na matokeo ya uchaguzi wa Rais kama yalivyotangazwa na msimamizi wa uchaguzi, basi anaruhusiwa kuyapinga mara moja mahakamani kabla tume haijayathibitisha. na kwa kawaida kukisha nkuwa na shauri mahakani basi tume haiwezi kuoverule na kutangaza matokeo ya rais. Mwanasheria bingwa Lissu alitakiwa ajue hilo; angeweza kuweka pingamizi wa matokeo ya jimbo moja tu na hivyo kuzuia matokeo yote ya uchaguzi wa rais yasitangazwe na tume hadi shauri hilo liamuriwe na mahakama. Ulalamishi ndio mweingi kwenye jamii yetu hii.