Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Kuna jamaa yangu nilisoma nae o level, mi Niko chuo udsm nimepanga zangu gheto akawa anakuja kuncheki, yeye kamaliza diploma hakuenda advance, katika kusaka ajira jamaa akaenda jeshi... Hapo hajaniambia nashangaa tu jamaa hapatikani hewani... Basi bana inapita kama miezi mitatu nashangaa tu siku jamaa huyu hapa gheto, kakonda kapauka Kawa kituko namuuliza jamaa vipi? Ananiambia man acha tu nimetoroka jeshini...

Jamaa alikua Kambi Tanga sijui ni ipi hasa, ananiambia jeshi pamemshinda amekimbia, anadai ashazimia kama mara mbili anajikuta anazinduka hospitali ya jeshi, akampiga mahesabu mara ya tatu hii itakua mazima.... Jamaa ananiambia sijui alipataje upenyo akawa ametoroka anatembea tu porini hajui hata Yuko wapi... Anadai alitembea kama siku mbili anahangaika tu akawa anahofia akitokea baharini itakuaje...

Au akishikwa si mtahisi labda alikua spy, yaani hofu kama zote, baada ya hizo siku akatokea Kijiji flani hajui hata ni wapi, hapo ana mavazi ya kuruta bado anahisi atashikwa tu, akaenda duka Moja akaomba kuazimwa simu akampiga mama yake akamuelezea yote, akatumiwa hela ndo akanunua nguo zingine na kuulizia mambo ya usafiri ndo mpaka kurudi dar... Akawa anaogopa kurudi kwao watamtafuta... Akawa anakaa gheto kwangu


Jamaa alikua ananipa visa vya kuchekesha sana na aliapa hatakaa akanyage jeshi tena, uzuri baada ya kama miezi 6 alipata zake ajira serikalini mpaka Leo Yuko kibaruani anakomaa
Jeshini mchezo? Siku narudi home kutoka kambini.
Mama na dada zangu wanalia hawaamini, mama alimlaumu sana baba mie kwenda kwa mujibu.

Ni mateso na karaha plus maumivu, kwangu binafsi sikuona uzuri wala umuhimu wa mie kuwa pale, ni baba kunilazimisha tyuuh aah.
 
basi mwenyewe unajiona unaakili kushinda serikali inayopeleka watu jeshini![emoji3]
Aha uzwazwa wewe, usiishi kama mnyama nguchiro anayekubali na kupokea kila kitu kama kilivyo.

Jifunze kuhoji kila kitu na kuwa mdadisi. Hivi unadhani kila kinachofanuwa na serikali ni sahihi? Kwa taarifa yako JKT ni moja ya vitu vya hovyo sana kufanywa ktk zama hizi.

Hakuna kipya cha kujifunza huko zaidi ya upuuzi wa kukosa usingizi , kulala na uchafu pamoja na ngono.
 
Aha uzwazwa wewe, usiishi kama mnyama nguchiro anayekubali na kupokea kila kitu kama kilivyo.

Jifunze kuhoji kila kitu na kuwa mdadisi. Hivi unadhani kila kinachofanuwa na serikali ni sahihi? Kwa taarifa yako JKT ni moja ya vitu vya hovyo sana kufanywa ktk zama hizi.

Hakuna kipya cha kujifunza huko zaidi ya upuuzi wa kukosa usingizi , kulala na uchafu pamoja na ngono.
hapo unatembea umejaza mavi matakoni unaropoka tu.
wewe una logic gani kushinda think tanks wa nchi hii? au unaona mambo yanafanywa fanywa kama wewe unavyoenda kuuza K ambiance?
 
Back
Top Bottom