Huyo jamaa anajificha nyuma ya uislam, mafundisho yetu sio ya kuabudia majini kama anavyo sema yeye. Ila anafanya shirki.Sasa kama wewe wasema hivyo wakristo waseme nn?maana sijaona dini iliyosifiwa na jamaa kama uislam na Quran.Nyie ndio wale wafia dini na wagumu kujifunza,tulitakiwa tuchemke ni sisi wakristo ambapo Kuna sehemu kasema hata sio dini ya kweli.
Wongofu maana yake nin? Je anayekizngatia hicho kitabu maana yake amepata wongofu right?Qur'an yote ni uwongofu. Yenyewe iunasema;
Q2:2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2
Simba.
Sawa Kwa mkristo???Ukiisoma moja katika sura ndogo za Qur'an iitwayo An-Nas (Q 114:4) kwenye aya ya 4 inawataja hao kua ni "Al khannasi" مِن شَرِّ ٱلْوَسْوَاسِ ٱلْخَنَّاسِ ٤ Isome aya yote hio ni kinga kubwa ya wasiwasi, aya zake ni fupi tu, naamini hakuna Muislam aliesoma madrasa ambae hajaihifadshi. Ina aya 6 fupi fupi. Link hii hapa; An Nas
Simba.
Hilo jina limeshasema kila kitu.Na pesakilakitu anakuaje?
Simba.
[emoji706]Hilo jina limeshasema kila kitu.
Qur'an haipo kwa ajili ya Waislam tu, ni kwa watu wote. Soma yenyewe inasema nini;
Matapeli wa kiislamu. [emoji706]
Ma Shaa Allah, kujificha "nyuma ya Uislam" ni sifa njema kabisa hio, ulitaka nisijifiche nyuma ya Uislam? Mbona hunitakii mema ndugu yangu?Huyo jamaa anajificha nyuma ya uislam, mafundisho yetu sio ya kuabudia majini kama anavyo sema yeye. Ila anafanya shirki.
Swali lako zuri sana, Raha ya Qur'an hua inajibu yenyewe, tafadhali jisomee;Wongofu maana yake nin? Je anayekizngatia hicho kitabu maana yake amepata wongofu right?
Waombee dua kwa Mwenyezi Mungu awaepushe na utapeli. Sio mwema.Matapeli wa kiislamu. [emoji706]
Waombee kwa Mwenyezi Mungu awaepushe na utapeli. Sio mwema.
Simba.
Nafahamu njia za kuwaita majini lakini siwaiti isipokua ninaojuana nao tu.Unaweza kuita jini mkuu kwa ajili ya. Kukuletea Pesa au kutatua changamoto zako.
Karibu sana, hujachelewa. Ndio kwanza mambo yapo mwanzoni mwanzoni.Nimechelewa ila ndarudi
Nafahamu njia za kuwaita majini lakini siwaiti isipokua ninaojuana nao tu.
Simba.
Sijawahi.Kwenye kupata PESA na mafanikio umewahi kujaribu kuwatumia hao viumbe ?
Prawns.
Ahsante..nini maana ya wongofu according to quranSwali lako zuri sana, Raha ya Qur'an hua inajibu yenyewe, tafadhali jisomee;
Q 2:1. Alif Lam Mim. 1
2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2
3. Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.3
4. Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo. 4
5. Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa. 5
Unaweza kuendelea kujisomea; Al Baqara
Simba.