Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,625
- 3,307
Huyo jamaa anajificha nyuma ya uislam, mafundisho yetu sio ya kuabudia majini kama anavyo sema yeye. Ila anafanya shirki.Sasa kama wewe wasema hivyo wakristo waseme nn?maana sijaona dini iliyosifiwa na jamaa kama uislam na Quran.Nyie ndio wale wafia dini na wagumu kujifunza,tulitakiwa tuchemke ni sisi wakristo ambapo Kuna sehemu kasema hata sio dini ya kweli.