FFArsis
Kwa kuwa juu kidogo hapo umeturuhusu tuulize chochote. leo nipo kwa Manara wa Yanga na Simba.
Nadhani unamfahamu Manara na hali yake ya Ualbino. Alipokuwa Simba, simba iling'ara na kufanya vizuri, alipoondoka simba, haukupita muda simba ikaanza kufifia, Yanga ikapaa alivyoingia Yanga. Sasa Yanga amefanyiwa mizengwe, inaanza kufifia.
Kuna uhusiano wowote kati ya Manara na hayo matokeo? Na hali yake ya Ualbino inachangia hilo?
Hapo Arsis ukubali matokeo tu, umezalisha maswali mengi sana kwa majibu yako.FF
Wewe nduo unalalamika simalizii visa, halafu wewr ndio unakuja na maswali mazito. Tutamalizia kweli visa namna hii?
Anyway, kuhusu Manara, namfahamu.
Kwenye hili lw Manat kuna mambo manne kama sio matano.
2) Jina lake lina uhusiano mkubwa sana na ushindi kiukoo.
2) Manara anaujuwa mpira - football), kazaliwa kwenye kizazi cha mpira kuumeni na kukeni.
Kwa sasa huwezi kumlinganisha na yeyote kwenye soka la Tanzania. Yupo juu sana.
3) Albino wanatafutwa viungo vyao wakiwa hai au wamekufa kwa sababu ya tissue zao, zinatumika kuzalisha dawa za kujidunga na kula kuwafanya watu wawe weupe.
4) wanatafutwa sana vivuli vyao na wachawi ili wavitumue kwa manufaa yao.
5) Manara kiashaielewa binafsi faida ya vivuli vyake na kajua na kaanza kuzowea kuvitumia kwa faida yake.
Kwa vyovyote vile, ukiwa timu moja na Manara ujue upo na timu ya ushindi, iwe biashara au michezo.
FF

Kwa vyovyote vile, ukiwa timu moja na Manara ujue upo na timu ya ushindi, iwe biashara au michezo.hawa yanga inanidi wamludishe manara kwenye nafasi yake bwana waache ubabaishaji.
FF tatizo la sasa la kufungwa fungwa Yanga sio la Manara.Hapo Arsis ukubali matokeo tu, umezalisha maswali mengi sana kwa majibu yako.
kama nimekuelewa hivi.
Hamisa mobettoFF tatizo la sasa la kufungwa fungwa Yanga sio la Manara.
Kuna mwanamke yupo Yanga kwa kujilazimisha na kwa tamaa zake, ni hatari sana huyo, anatumia wachawi wa kishenzi na kijinga kabisa na yeye washamwingiza kuwa mchawi.
. Akikujibu nistueNaomba kuuliza swali moja kwa Arsis. Je sisi binadamu tunazaliwa na kuishi mara moja tu. Yani tangu dunia ilivoumbwa ndio tumezaliwa hivi sasa? Au kuna siri nyingine ambayo hatuijui?
sasa umeianzisha lingine kabisa. Funguka.FF tatizo la sasa la kufungwa fungwa Yanga sio la Manara.
Kuna mwanamke yupo Yanga kwa kujilazimisha na kwa tamaa zake, ni hatari sana huyo, anatumia wachawi wa kishenzi na kijinga kabisa na yeye washamwingiza kuwa mchawi.
Nimecheka sana mana kuna mtu alishawahi kusema huyo dada mchawi sana, mpenzi wake akamtaja kwny nyimbo, "tunguli zimenibamba *******" .....nadhani kuna uzi kabisa humu JF miaka ya nyuma, dunia hii ni zaidi ya tuijuavyoFF tatizo la sasa la kufungwa fungwa Yanga sio la Manara.
Kuna mwanamke yupo Yanga kwa kujilazimisha na kwa tamaa zake, ni hatari sana huyo, anatumia wachawi wa kishenzi na kijinga kabisa na yeye washamwingiza kuwa mchawi.
asiione manara hii comet.FF
Wewe ndio unalalamika simalizii visa, halafu wewr ndio unakuja na maswali mazito. Tutamalizia kweli visa namna hii?
Anyway, kuhusu Manara, namfahamu.
Kwenye hili la Manara kuna mambo manne kama sio matano.
2) Jina lake lina uhusiano mkubwa sana na ushindi kiukoo.
2) Manara anaujuwa mpira - football), kazaliwa kwenye kizazi cha mpira kuumeni na kukeni.
Kwa sasa huwezi kumlinganisha na yeyote kwenye soka la Tanzania. Yupo juu sana.
3) Albino wanatafutwa viungo vyao wakiwa hai au wamekufa kwa sababu ya tissue zao, zinatumika kuzalisha dawa za kujidunga na kula kuwafanya watu wawe weupe.
4) wanatafutwa sana vivuli vyao na wachawi ili wavitumie kwa manufaa yao.
5) Manara kishaielewa binafsi faida ya vivuli vyake na kajua na kaanza kuzowea kuvitumia kwa faida yake.
Kwa vyovyote vile, ukiwa timu moja na Manara ujue upo na timu ya ushindi, iwe biashara au michezo.
Of course hua ninaota ndoto za ajabu sana kiasi kwamba sielewi mkuu yaani ni kama natumiwa bila mimi kujijuaNimefahamishwa kua kazi yako ilikua inafanyika bila wewe kujijua na ulioteshwa.
Tunasubiri mrejesho wako tu sijaelezwa zaidi. Tueleze tofauti iliopo tu.
Kumbe ata wewe umeona, yaani ata sielewiNzito hii (heavy).
Binafsi niumekuelewa, unataka tukuulize maswali, au sivyo?Usifikiri sote tutakua na namna moja katika uandishi wetu, kila mmoja na namna yake.
Namna yangu inalenga kwa makusudi kabisa kuacha watu wawe na maswali.
Kama hukuelewa kitu uliza, naweza kukujibu mimi au mwengine yeyote, ni uzi wa wazi huu.
Hakuna kisa humu cha kukianza na kukimaliza moja kwa moja. Hilo sahau.
"washamwingiza" vipi kuwa mchawi? Hapa tuffanunulie Arsis.FF tatizo la sasa la kufungwa fungwa Yanga sio la Manara.
Kuna mwanamke yupo Yanga kwa kujilazimisha na kwa tamaa zake, ni hatari sana huyo, anatumia wachawi wa kishenzi na kijinga kabisa na yeye washamwingiza kuwa mchawi.
Diamond aliwahi kumsema nakumbuka vizuri kabisa!Nimecheka sana mana kuna mtu alishawahi kusema huyo dada mchawi sana, mpenzi wake akamtaja kwny nyimbo, "tunguli zimenibamba *******" .....nadhani kuna uzi kabisa humu JF miaka ya nyuma, dunia hii ni zaidi ya tuijuavyo