Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Ila big up Sana.... Swali lako zuri mno🤝
Kiasi kwamba nilipolisoma kwa mara ya kwanza lilinishinda kabisa kulitolea maelezo yoyote... Imebidi nikae chini kufanya mind activation kidogo Kama dk 20
Ndo kupata vimaelezo kiasi, japo najua hayo maelezo n juu juu Sana kwa maswali ulouliza!!!
Dah hongera sana🔥
 
Kuwasiliana umejuaje na jeh waeza uliza kitu ukajibiwa au wakua wajiongelesha tuh mbona m sisadik asee mtu aniprovie kitu navihtaj sana hivo viumbe vnavyoona nsvyoona
 
Wakuu nipo page ya 61/221 mwanzo uzi ulkua very interesting nkajua nitajfunza jambo kulingana na ulimwengu but navoendelea kusoma naona promo sana uislamu kibao quaran ndio usiseme vip yaliyomo yamo? Mtu wamlik kiumbe chenye uwezo then maswar yakipuuz tuh ndio yenye majibu haman la maana hata moja ambalo n jipya watu wanalogwa hakuna uthibiti ila kuuliza sjui vnn nn upuuz upuuzi waliomalza kuna kitu mmejfunza kimewasaidia au ndio kusogeza days za sikuza uchaguz mana nishaboeka sasa kichwa very interesting wamilik kitu kzito then utumbo sjui simba sjui vnn ebu mnaomlk majin sjui viumbe gan mnazngua mostly mnjfavor kaeni navyo huko huko msilite kusaidia halaf mnajfavor tuh upuuz uliza elimu yakidunia ukiachilia kusali vitu gan mtu afanye avae au apande /ajiepushe kwake kujkinga asa daaha kwer kaz ipo huo uvhaw kukaa uchi sjui dunia sab hizo habar zipo sqna

Waliomlza naomba majibu kina mazur au n upuuz mashamba ya maburuk tuh yamejaa na kamba za mikonge
 
Shukran kwa ufafanuzi..sometime ilikuwa inanipa mashaka sana ..pia uelewa wa watu wanaokuzunguka ..Ni kweli maana hata wao wananisisitiza kumcha Mungu ..na nijifunze elimu akhera sana etc..kuna muda hadi nikienda mahali chakula kibaya najulishwa..Pia kuna muda wananiambiq nikiendelea na ibada sana nitaona maajabu makubwa..
Anyway nilikuwa napata mashaka which is which japo kwa asilimia kubwa wamenipa muongozo binafsi.
Huu Uzi nilianza kusoma mwanzo .nikaacha page ya 2. ila huwezi amini niliambiwa niendelee kusoma nitajifunza vitu vingi sana.
by the way ktk watu waliokuwa hawaamini hivi vitu vinaexist nilikuwa mie. maana dini nilisoma kidogo. nikaendelea n elimu dunia..
ila now najitahid kiasi na nataka nirudi kusoma zaid Quran. hata one hour .tu
 
Ooh nishafaham upo kwenye situation gani....ukipata muda utanitafuta tutaelekezana baadh ya vitu, naona we are on the same boat!!!
Waalim wako kuna kitu wanataka wakufundishe... Ila elim huja kwa aina tofaut tofaut, Kuna elim zipo mikonon mwa watu na zingine zipo mikonon mwao!!
Kutokuwa na circle ya watu Kama we karibu au kutokuwa na kiongoz wa kiroho mzuri ndo kinakutafuna kwasasa🤔🤔
Usishangae, mm mwenyew bado najifunza vilevile japo nimepiga hatua kidogo!!!
🚶🚶🚶
 
Amiin InshaAllah.. Shukran maana elimu hii ukienda kwa wrong people unaweza kupotoka vibaya..na hupenda kuniambia nijitajid kutoa sadaka sana na kuMuomba Allah kwa iman ..
by the way huwa nikipata muda unaweza kuelekezwa hata mambo ya kidunia mf. biashara njia sahihi ya kufanya..
Nb..sio kukuletea pesa ..hapana muongozo na kuna Muda biashara ikiwa mbaya ..Wanakwambia Subra jifunze ..hakuna shortcut kuna muda unapata kuna muda unakosa ..
Anyway nitafurahi kwa elimu zaidi inshaAllah nitakutafuta
 
Zintie Kuna njia kama tatu zimeelezwa za kuwasiliana na ulimwengu wa roho, Je wewe huwa wanawasiliana na wewe kwa njia gani?
 
Zintie Kuna njia kama tatu zimeelezwa za kuwasiliana na ulimwengu wa roho, Je wewe huwa wanawasiliana na wewe kwa njia gani
Mara nyingi Telepathy na hisia ..ndoto mara chache ..na dhahiri pia mara chache sana by the way huwa muoga sana so..
Bado nina mengi ya kujifunza Sana pia muda mwingi nakuwa busy na mambo ya biashara ..Unakuta hata wiki siwasilian nao.
labda mpaka iwe kuna dharura sana watanipa taarifa bila kuwaita.
 
unavyosema kwa dhahiri maana yake anakuja kabisa jini unamuona akiwa katika umbo gani?
 
unavyosema kwa dhahiri maana yake anakuja kabisa jini unamuona akiwa katika umbo gani?
Kama binadaamu ila hapo unakuta muda ulishaenda mfano..mchana nimepita mahali restaurant..pembeni alikaa mtu yuko hivi na hivi ..so jioni ndo huniambia ..kwa maana dhahiri n kwa kuona sio kuongea direct kuwa mie n flan..
Kama nilivyosema huwa bado mwoga kuhimili mambo haya ..
 
nimekuelewa. kuna comment nimeona Mwami Atale amesema umtafute jaribu kumcheck huenda akakupa ABC...
Kila la kheri.
 
nimekuelewa. kuna comment nimeona Mwami Atale amesema umtafute jaribu kumcheck huenda akakupa ABC...
Kila la kheri.
Asante .ndo hivyo najaribu kujua au kupata usahihi zaidi wa haya Mambo. Especially kuwa against na MwenyeziMungu.
Japo muongozo mingi na very positive na kukujenga zaid kwa MwenyeziMungu
Allah anajua zaidi .
 
Hakuna mahusiano Kati ya mwanadamu na majini.
Hayo ni mashetani yanawadanganya.

Muombeni Mungu awalinde na hao mnaowaita majini.

Maana naona mnawapa promo Wakati mnapotosha. Acheni kupotosha. Muombeni Mungu awape rehema na sio majini.
Ahsante
 
Nimerudi tena kuchungulia kwenye hii thread baada ya kupotea kwa muda.

Msimu wa kamba ulipotea ukaja msimu wa kahawa.......sahv kuna nini jaman kabla sijaanza kusoma?
 
Kitabu Kipi Hicho
 
Nakubaliana na wewe Huenda Arsis ni Khidr maana anafichua Vitu vinavyifanya Mtu uchimbe Kusoma Refference nyingi..

Huu uzi nilikuwa Sijauona Kuanzia Juzi ndo nimeanza Kuukalia Koo..
 
Kama Unafahamu elimu Ya Misamiati..
Inasema Si Ruksa Jina Kutafsiriwa Kwenye Kutafsiri Chochote..

Na Ndo Maana mtu akiitwa John Uingereza Hatumiti Yohana Tanzania..
Au Ikitokea Ukiitwa Zawadi Tanzania Wazungu hawawezi kukutasiri na Kukuita Gifts..

Jina halina Tafsiri Hiyo ni kanuni ya Ukalimani na Ufasiri wa Doccuments
 
Nakubaliana na wewe Huenda Arsis ni Khidr maana anafichua Vitu vinavyifanya Mtu uchimbe Kusoma Refference nyingi..

Huu uzi nilikuwa Sijauona Kuanzia Juzi ndo nimeanza Kuukalia Koo..
Hii haiwezi kuwa kweli mkuu..... Khidr ni mja mwema wa Mungu level ya kinabii yupo daraj ya juu sana, hawezi kufungwa kwenye chupa kama tulivyopata background ya Arsis kwa uchache!!
Khidr hutumwa na Mungu kwa mtu mara moja kufikisha utukufu wa Mungu na baadae huenda zake... Haya ya Khidr kukaa na mtu unamuita ukitaka umeyasikia wapi🤔

Ni kweli inafikirisha lakini Arsis kwa machapisho yake hapa uwwzekano wa kumuweka kundi la majinn n 60%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…