Mwami Atale
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 279
- 1,103
Ila big up Sana.... Swali lako zuri mno🤝Mwami Atale umesema kuna njia za ndoto, Hisia , Telepathy na dhahiri
Hapa nina swali, Mfano njia hii ya ndoto tunaambiwa ndoto huweza tokana na mungu au shetani sasa utajuaje kua mlango huu wa ndoto ni upande wa mungu? kwaamana iblisi anaweza tumia mlango huu kukuhadaa.
Pili mlango wa hisia, Tunafundishwa kuwa kila mtu ana qareen wake na nguvu kubwa ya qareen ipo katika kushawishi kwa kufanya whispering, Vipi sasa mtu atatofautisha kuwa ndoto anazoota na hisia na hizo telepathy ni kweli ni darja kutokana na uchamungu wake na zimetoka kwa muumba na sio iblis?
Kwa kifupi tuwekee vigezo ili kutofautisha baina ya vinavyotokana na muumba na shayatwin.
Kiasi kwamba nilipolisoma kwa mara ya kwanza lilinishinda kabisa kulitolea maelezo yoyote... Imebidi nikae chini kufanya mind activation kidogo Kama dk 20
Ndo kupata vimaelezo kiasi, japo najua hayo maelezo n juu juu Sana kwa maswali ulouliza!!!
Dah hongera sana🔥